Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Ndg hitaji la kisheria ni.muhimu sana kuzingatiwa. Usipozingatia unaweza kwa ujinga ukaharibu kila kitu,hata kama hicho ulichokuwa nacho kinyume cha sheria hakina madhara au hakiathiri hali halisi.
sheria inasema ni kosa shahidi kuwa na simu anapokuwa kizimbani? soma kifungu 127 cha sheria ya ushahidi. Jaji kauliza je tunapaswa kuwapekuwa mashahidi kabla ya kupanda kizimbani?
 
Kama umemsoma vizur Kibatala kasema wazi kwamba "Proffeaaor Jay ameni texy
t kwamba shahidi anasoma".
Hapa ndipppo tatizo lilipoanzia
 
Yaani hii kesi ina takiwa iwe imesha isha. Jaji ana remba
Sijui ana furahiya posho au ameamua kuibeba serikali. Kuna uhuni mwingi sana upande wa mashtaka.
 
ohooo kishanuka....

hawa mapolice walishamfanya Jaji babu yao na mahakama ni sehemu yao ya ukumbini, leo kimewageukia.
Mrukeruke tu kama maharage lakini Mbowe ni Gaidi

4.-(1) Hapana mtu yeyote katika Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania nahapana raia wa Tanzania aishiye nje ya Jamhuri ya
Muungano akayeruhusiwa kufanyakitendo cha kigaidi na mtu
yeyote atakaye fanya hivyo atakuwa ametenda kosa la jinai.

(2) Mtu atatenda kosa la kigaidi ikiwa kwa nia ya ugaidi atatenda
au hatatenda kitendo ambacho-

(a) kinaweza kufanya uharibifu mkubwa kwa nchi au shirika
la kimataifa; au

(b) kimekusudiwa au kinaweza kusemekana kuwa kimekusudiwa-
(i) kutishia uma kwa kiwango kikubwa;

(ii) kuilazimisha Serikali kufanya au kutokufanya kitendo
chochote;


(iii) kudhoofisha au kuharibu kwa kiwango kikubwa misingi ya kisiasa,
kikatiba, kiuchumi au miundo ya kijamii ya nchi au shirika la
kimataifa; au


(iv) kuishawishi Serikali hiyo au shirika hilo la kimataifa; au

(c) kinahusisha au kusababisha, kulingana na mazingira-

(i) shambulio kwa maisha ya mtu ambalolinaweza kusababisha kifo;
(ii) shambuliokwa uadilifu wa mtu;
(iii) utekaji wa mtu.


 
Dah.. kesi ya kutunga ngumu Sana, mbaya zaidi Mawakili wa sirikali daily wanaleta vitu ambavyo vinamkanganyiko.. ni kwamba hawa kina kibatala wanasomaga vyuo tofauti na wao?
wanasoma vyuo hivyo hivyo sematu utofauti ni huu:
SERIKALINI
1. wanapewa maelekezo.
2. Wanalipwa end month hivyo hawajisomei wala kuji-update.
3. Wanakula pande zote.

BINAFSI.
1. wana hofu ya Mungu
2. Wanajisomea.
#. Wana GPA za kusotea tofauti na wa serikali hawana option zaidi ya kusubiri mafao ndio wajenge
 
Nlikuwa najuiliza hiv kwa nn kesi huwa haziruhusiwi kulipotiwa kwenye vyombo vya habari?? Ckuwa nmeelewa ila kwa Sasa ninajua kabisa kwa Nini, ukiwasoma mawakili wote, Ni Kama vile huwa wanasoma walichokisema baada ya kutoka mahakamani, na wanasoma na maoni mbalimbali, then wanachanganya na taalum, kinachokuja kutekea wanaenda na puplic mood, na hlo Ni Jambo la hatari mno mno kisheria(wanasheria watakuwa wanajua hasa madhara yake)

Ila itoshe tu kusema kesi hii itachukua mda mrefu mno kwa sababu kila hatua itakuwa na mapingamizi na ukiangalia Ni Kama wanacheza na puplic mood, na nanaweza kuhis na jaji au majaji wanaweza kuingia humo.

Anyway hyo ndo transparence..
 
utashangaa kuan series of evidence nyingi, hiyo iliyokataliwa ni moja tu na haiathiri kesi nzima. na sidhani kwenye hiyo kesi kila kitu kimekataliwa kupokelewa na mmahak
Haya mapingamizi yanasaidia kwenye upande wa procedure, Kama upande wa mashtaka utashinda, basi upande wa utetezi utatumia hayo mapingamizi Kama legal grounds mahakama ya Rufaa.

Kwa mfano, Jaji Siyani alitupilia pingamizi la utetezi kuhusu caution statement kwa kutumia opinion na sio law. Sasa kwenye mahakama ya Rufaa condition ni kwamba unakata Rufaa kwa ground ya sheria sio opinion. Hivyo utetezi wakiikatia Rufaa kwa kutumia sheria na kuonesha Jaji siyani Ali error kwenye law, basi pingamizi litasimama na Jaji atachukuliwa ame error kwenye maamuzi yake .

Usione kwamba utetezi wanajifurahisha Bali wanatengeneza mazingira ya baadae.
 
Updates:

Jaji amesema kutokana na swala la privacy ya shahidi, simu yake atarudishiwa. Ila diary itakaa chini ya uangalizi wa mahakama, then j3 utatolewa uhamuzi
Kwa hiyo Jaji kagundua kama simu ni privacy ya mtu. Lakini Tigo wao wanatii kwa Mamlaka hawana Privacy

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Wakili wa Serikali Abdallah Chavula: Ndiyo yaleyale tuh+ Mheshimiwa Jaji

Kibatala: MHESHIMIWA JAJI Naona Wakili yupo Emotional Sana, Na Hii siyo Vita Vya Mtaani, Hebu ajielekeze Kwenye Kujenga Hoja tu...

Mawakili wa serikali wametikishwa sana na hoja za upande wa utetezi kiasi cha kupoteza umakini wa kuzungumza kwa hoja kama mawakili wasomi wanavyotakiwa kujibeba wakiwa wanatekeleza majukumu yao.
 
Kwasababu wameshaona hapo hakuna kesi. Wanasubilia hukumu tu, kama itakuwa ya haki watatulia na kama haitakuwa ya haki wafanye mambo yao
Eti wafanye Mambo yao🤣🤣🤣🤣🤣
Hamujifunzi nyie Yule bwana makelele wa Ubelgiji amezunguka kila Kona ya dunia akitaka Tanzania iwekewe vikwazo,Mara The Hague,kote amepuuzwa.

Mwishowe akaomba ukimbizi wa siasa Ili ale maisha Ulaya.
Unafikiri kuingilia Mambo ya ndani ya nchi ni rahisi?.Kama ni hivyo dikiteta Kagame angekuwa siyo rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…