Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

MBOWE NI GAID KATIBA SIYO KIPAUMBELE KWA SASA TUNATENGENEZA UCHUMI HIYO KATIBA ITASAIDIA NINI ZAIDI YA HUO UCHU WENU WA MADARAKA TU
Kumbe unajua kabisa kuwa tukipata KATIBA MPYA CCM mnaondoka madarakani...Kudai KATIBA MPYA ni uchu wa madaraka?

Hii post usilipwe 7000/-umeiabisha LUMUMBA
 
Hi kesi imeharibiwa na mahakama. Baada ya mahakama kujiingiza upande wa mashtaka. Shahidi anawezaje kuja na document iliyopo kwenye custody ya mahakama. Kwanza bila kufile application mahakamani kuomba hiyo document. Pia, Jaji Siyani kukubaliana na discrepancy kisa upande wa utetezi hawajauraise. Kuna Mambo mengi yanaonesha mahakama inasaidia upande wa mashtaka. Leo Tena Kuna barua amepewa shahidi na msajiri wa mahakama kuu ambayo hastaili kupewa yetye Bali DPP.

Hivyo basi, ili hi kesi iishe inabidi mahakama isiwe upande wowote.
 
Mbaya zaidi kaapa mkononi mbele ya msahafu.......Allah ndio hakimu wa yote
 
MmmmmmHh, mbona akina kibatala hamjahakiki kama hiyo inamaandishi vp kama ikabasilishwa na kuletwa mpya mtajuaje? Kosa limefanyika kwa mawakili wa utetezi,hofu yangu kama kunanjama yoyote juu ya washtakiwa
 
Mkuu tukiacha kujua sheria!!Unajua kusoma na kuelewa hiyo lugha?

Soma paragraph ya Kwanza tu walau uishie hapo
 
Hii kesi kwani haiishi tu?.tumeshachoka sasa
Jaji alisema kesi hii itachukjua muda wa miezi minne kuja kwisha,hapo ilipofikia haiwezi kupigwa kalenda za mbele ni mbivu na mbichi kujulikana
 
Uzuri wa kesi hii imeshikwa na teknolojia.
Kila kitu kinakuwa front of majority.
Ndiyo maana Mara kadhaa wamezuwia watu kuingia mahakamani.
Wanaogopa kuumbuka

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wewe lazima utakuwa cheti feki, ama ulikuwa na mjombawako fisadi, ama nyumbayenu ya urisi ilijengwa kwenye hifadhi ya barabara.
 

Hapana, You are deadly wrong, Katiba ya Tanzania ibara ya 13 inasema kuwa kila mtu anahesabiwa innocent hadi hapo Mahakama itakapojiridhisha kuwa ametenda Kosa na ibara ya 107 ikasema kuwa Mahakama pekee ndio yenye mamlaka ya Mwisho katika kutoa HAKI. Sasa wewe kuendelea kusema MBOWE ni Gaidi kabla ya mahakama, madhara yake kisiasa ni kwamba kesi hii ni ya Kisiasa na maamuzi yamekwishafanyika Nje ya Mahakama which is very fatal in all countries abiding to rule of law and constitutionalism.
 
Mahakama haifanyi kazi namna hiyo dogo, inahitaji ushahidi wa kujiridhisha pasi na shaka na ndiyo maana Shahidi wenu wanaingia na madesa kufanya uhalali wa kumfunga mbowe.., ngoma bado mbichi.
What we do need there ,true and solid evidence only that can funga mbowe and not blablaaa of republic
 
Watu wanavyopiga Kelele juu ya kesi hii unaweza dhania kuwa Mbowe anajulikana sana hapa TZ kumbe ni boya mmoja tu.

Ni kweli Mbowe hajulikani sana hapa Tanzania, na hilo sio kosa lake kutokujulikana sana, lakini kwa sisi tunaomjua Mbowe tunajua sio gaidi, bali hii kesi yake ni muendelezo wa siasa chafu za ccm.
 
subiri uamuzi wa jaji ndio uje uongee hapa. hiyo kesi ni sensitive kwahiyo kila kitu hata kama kidogo kinatakiwa kuchukuliwa kwa umakini mno.
Unatetea ujinga mpaka unajichanganya,
Unasema vitu trivial haviamui kesi, lakini wakati huo huo unasema kila kitu hata kama ni kidogo kinatakiwa kuchukuliwa kwa umakini! Hebu kaa kimya tu maana unajidhalilisha kwa kutetea kesi ya siasa za kishenzi.
 
Jaji kawabeba tena Mawakili CCM,ilitakiwa simu na diary vyote vitaifishwe.Hata hivi naona mawakili wa CCM wameanza kupoteza mwelekeo. Wakifika shahidi wa 10 sijui itakuwaje

Kadiri kesi inavyozidi kusogea mbele na mashahidi wa serikali wanavyobana ndio wanazidi kulegea. Hii ndio kawaida ya jambo la kutunga, kadiri unavyobanwa ndio unazidi kutepeta.
 

Kuna ushirikiano mkubwa wa kihalifu kati ya serikali, mahakama na vyombo vya dola. Haya ni matokeo ya kuwa na serikali iliyoingia madarakani kwa wizi wa kura, kwa vyovyote lazima itatenda kazi zake kwa njia za kihalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…