Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Ndio maana alipo TOA vitu vyake alisikitika na kutingisha kichwa. Haya tungoje kesho tutakapo badilishiwa dairy nakuambiwa ndio hii kumbe wameificha. Chezea watu za vitu vya mahakama wewe.
Na Jaji alimsaidia kwa kumrudishia simu yake otherwise nayo ilitakiwa ichunguzwe
 
SASA Kama simu karudiahiwa,si atafuta Yale aliyokuwa ameandika kwenye note book ya simu? Au tumuite tena jamaa WA Tigo atuchanbulie jamaa aliandika nini
 
Nina wasiwasi ile diary wanaweza wakaibadilisha wakaweka nyingine, mahakama hizi zimeshakuwa takataka kabisa.
 
huyo shaidi ni mtu wa matukio ya yenye utata .
1.kambambikiza muzee wa watu pembe za ndovu
2.kambambikiza jamaa bastola
3.kasimamishwa kazi lakini bado anaendelea na kazi
4.kaiba nyaraka ya mahakama kaileta mahakamani
Kiburi cha kufanya yote hayo kinatoka wapi?
 
Shahidi chizi kweli, yaani unaenda kutoa ushahidi wa kitu unachokijua halafu unasoma, that means ni ushahidi wa kutunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…