Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Niliyaongea mapema Ile kuwa shahidi ANAONGEA Kama KAKARIRISHWA,kumbe alikuwa na dayari amejaza nondo za kutosha. Msemwa ,,hivi wanao Ndugu na marafiki wakiona unatoa vitu mahakamani si watakutharau?? Ona sasa .NILISEMA Ile mapema mwisho WA ubaya NI fedheheko.
Hahaha ... anadesa au siyo.
Policcm wajinga sana
Yaani hawa ndiyo wanaotegemewa na ccm kubakia madarakani
 
kumbe alikuwa na dayari amejaza nondo za kutosha.
Kanikumbusha chuo siku ya EU Inveterator kamshtukia jamaa ana kidesa, akamfuata akamuuliza hicho nn, jamaa atamwoneshea kidole kwenye ceiling board ile Ticha kapeleka tu macho kwenye paa aangalie anachooneshwa, jamaa akatupia ile karatasi mdomoni. Jamaa akaulizwa ile kararasi iko wapi akajibu kwa confidence kuwa hajawahi kuwa na karatasi.
 
Wewe nawe ni kasuku
1. ni makosa kuwa na diary hasa kwa polisi
2. je alipokuwa kizimbani alikuwa akitoa ushahidi kutoka kwenye diary na hiyo simu
3. je upo utaratibu wa kuwapekuwa mashahidi kabla ya kuingia kwenye kizimba cha kutolea ushahidi
Mtumie akili kidogo
Wewe ni pimbi!

Kama siyo makosa kuwa na diary kwanini ilichukuliwa na ipo mahakamani?
 
Wewe ni pimbi!

Kama siyo makosa kuwa na diary kwanini ilichukuliwa na ipo mahakamani?
nitajie sheria inayokataza?
iko mahakamni sawa tusubiri mawasilisho ya pande zote na uamuzi wa mahakama
 
ccm wameamua kulitia aibu taifa kupitia mahakama, kuna wakati najuta kua mtanzania maana walopewa dhamana ndo wanalizalilisha taifa kupita kiasi.
Usikufuru mzee jivunie ili upate ujasiri wa kuleta mabadiliko nchini kwakoq
 
Niliyaongea mapema Ile kuwa shahidi ANAONGEA Kama KAKARIRISHWA,kumbe alikuwa na dayari amejaza nondo za kutosha. Msemwa ,,hivi wanao Ndugu na marafiki wakiona unatoa vitu mahakamani si watakutharau?? Ona sasa .NILISEMA Ile mapema mwisho WA ubaya NI fedheheko.
Hii kesi imefunguliwa na shetani na mashahidi ni watoto wa mashetani, Mungu ni wa ajabu sana iko siku wao na vizazi vyao dhambi hii itawatafuna hadi jehenam.
 
Back
Top Bottom