Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Kwani ni lazima hii kesi iendeshwe?
Mhasibu wa Takukuru alikuwa na makosa 42 na yupo huru.
Hizi gharama zakuendesha kesi kama wanajua ugaidi haukufanyika na waliuzuia si bora waliouzuia wapewe zawadi na waliokusudiwa kufanya wainywe na wawe kwamatazamio.
Inapigwa siasa ujue Mbowe akiachiwa leo joto la Siasa litakuwa juu sana so wako tayari kufilisi Nchi kwa kesi yakijinga ili kumzuia Mbowe asiwe huru

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Wewe nawe ni kasuku
1. ni makosa kuwa na diary hasa kwa polisi
2. je alipokuwa kizimbani alikuwa akitoa ushahidi kutoka kwenye diary na hiyo simu
3. je upo utaratibu wa kuwapekuwa mashahidi kabla ya kuingia kwenye kizimba cha kutolea ushahidi
Mtumie akili kidogo
Unamzidi jaji kujua taratibu za mahakama eti ... U umpumbafu sana
 
Pole sana ndugu yangu maana unatokwa povu hapa hata sijui kama Hangaya anakujua

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
1636779589699.png
 
Swali hapa ni kwamba, ni mashahidi wangapi waliingia na Madesa? Mungu aendelee kutusaidia kuyashuhudia kwa macho ya nyama Haya maovu ya akina Ustadhi Kingai
Acha kuudhalilisha UUSTADHI,tafuta tafsiri sahihi la neno USTADHI

Huyo hawezi kua ustadhi EVER
 
Back
Top Bottom