Shida Zetu
JF-Expert Member
- May 9, 2016
- 305
- 835
Kuhusu hilo jambo laMkuu sijasema popote kuwa wananukuu public mood, nilichosema ukiwasikiliza na ukochora body language yao kifasihi utagundua kuwa kuna mahari Ni Kama wanakwenda na public mood, japo hawawez wakasema, ili ujastfy heb Angalia kile kibatara alichokise wakati anatoa zuio la kukataa kielelezo, mpka akasema hyo mtu ana diary cjui sim[emoji15][emoji15] cjui kama unanielewa, Sasa Angalia chanzo Cha alikotoa hyo taarifa, unaweza kuona how public mood inavyo waendesha wanasheria wetu, na ujue hata ile kesi ya yule mkuu wa wilaya ingekuwa inarepotiwa hivi Bila shaka isingekuwa imeisha...
Kibatala, ni jambo la kiuchunguzi tu. Na ndio maana alimuambia judge kuwa amepata taarifa na amejiridhisha kuwa kuna kitu kama hicho, na kweli ikawa hivyo. Wewe unaona hilo linathibitisha hoja yako ya public mood?
Ni kweli huwa kunakuwa na pressure kutoka kwa umma kwenye baadhi ya kesi lakini watu wote waliopo kwenye legal fraternity wanajua jinsi ya ku manage. Na ndio maana hutakuja kusikia jaji ametoa comment kwenye vyombo vya habari au kujibu suala lolote lile. Sijui umenipata? Najaribu kusema usiwe na shaka yoyote kuhusu hiyo 'public mood'