Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 23, 2021

Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 23, 2021

Matata: Msimbazi ipo wapi

Shahidi: Wilaya ya Kipolisi Kariakoo

Matata: Kuna sehemu yoyote ulitaja Kiongozi uliyewahi Kufanya naye kazi Pale Msimbazi

Shahidi: Sijazungumzia

Matata: Ukiachana na Kutaja Majina yako na Force Namba zako, Kuna Ushahidi wowote Umeonyesha kwamba Uliwahi Kufanya kazi Central Police Dar es Salaam

Shahidi: Ndiyo nimeleta Detention Register Yenye Muandiko wangu Mimi

Matata: Kuna Kitu chochote umeleta Mahakamani mabpo kwa Kuangalia DR tunaweza Kusema huu ni Mwandiko wako

Shahidi: Kimya
Duh, aibu kubwa - jamaa hajawahi kufanya kazi Central - kabananishwa na wakili anatoa upepo mchafu
 
Mallya: tusaidie, najitolea Kukaa naye na nitakula naye

Jaji: basi naelekeza Hilla, Mallya na Shahidi Mkae pamoja

Mallya: Pius Hilla tujawahi Kula pamoja

Jaji: basi Leo Mtakula pamoja kwa Amri ya Mahakama

Jaji: na Kama Watachukua Nusu saa basi Break iwe lisaa lizima
Madesa yamewekewa kizuizi leo, urafiki wa lazima huo kati ya Mallya, Pius na Shahidi - chakula cha pamoja ha ha ha
 
Jaji anatafuta kila njia ya kumfurahisha Samia. Labda pengine atabahatisha cheo kama mwenzake.

1) Jaji Mkuu - kada wa CCM aliyekuwa akishiriki vikao na Magufuli, Bashiru na Polepole
2) Msajili wa mahakama - TIS
2) Jaji Kiongozi - TIS
3) Jaji Tiganga - TIS (baada ya kesi lazima naye apewe cheo)
4) Wapo majaji wengine 8, wote waliteuliwa na marehemu kuwa majaji - TIS

Kesi ya Mbowe, haitasikilizwa na jaji yeyote wa mahakama, zaidi ya hawa maafisa wa TIS waliochomekwa mahakamani kuvuruga mfumo wa mahakama.
Pangeni yenu na MWENYEZIMUNGU anapanga yake

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Detention register imetumika Muda mrefu Sana. Tangu Julia 2020 Hadi July 2021?
 
Kwa wajuzi wa mambo ya mahakamani Wakili wa Serikali anaposema: tunaomba sasa tupewe P2 ilishahidi aweze Kusoma anamaanisha nini?
 
Leo tarehe 22/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku siku ya Ijumaa, tarehe 18 Novemba, 2021.


Jaji anatoka
Mwisho wa ubaya ni aibu na kulinda uongo ni kazi ndio nimejua safari hii
 
Tunawaomba msitumie maneno makali kiasi hicho. Tuwe wastaarabu kidogo. Ombi kwa wale mnaochuja taarifa hizi kuwa makini kwa watu wanaotumia lugha chafu. Huyo anayeitwa zezeta humu ni mzazi wa watu.
 
Kwa mtu asiyeelewa ndio atashabikia huu ujinga unaofanywa na hawa majaji kwa sababu za kisiasa,haya yanayoendelea yanaathiri mahakama zote sasa hivi mahakimu wana viburi wanaamua kesi wanavyotaka kwa vile wanaona huko juu wanavyofanya
Pia tuombe mambo kama haya yaliyotufikisha mahakamani leo yasitokee tena huko mbele maana hayana Afya kwa Taifa letu.
 
Kwa mtu asiyeelewa ndio atashabikia huu ujinga unaofanywa na hawa majaji kwa sababu za kisiasa,haya yanayoendelea yanaathiri mahakama zote sasa hivi mahakimu wana viburi wanaamua kesi wanavyotaka kwa vile wanaona huko juu wanavyofanya
Uzuri ni kwamba IPO siku zitatumika dhidi yao au ndugu zao
 
Back
Top Bottom