Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Mawakili wa utetezi nadhani wana kazi nyepesi sana .kwenye kubeti odds zingekuwa kama ifuatavyo

Kina mbowe kushinda 1.54 ,serikali kushinda 3.25
 
Rejea,Baada ya kuwapata kina Adamoo alikata mawasiliano kabisa na Urio!
Urio akaanza kuwatafuta kina Bwire!Wakati Huo wote hana mawasiliano na Mbowe!
Kwenye cross examination mtajua hamjui!
FM hakukata mawasiliano, bali alikuwa anakwepa mawasiliano! Soma vizuri!
 
Eeeeh Kama aliwaongopea akina Adamo kua wanatakiwa kwenda kufanya protection kumbe yeye alikua anajua kua Kuna viashiria vya ugaidi unashindwaje kusema ni muongo? Hivi isingekua yeye kuwaongopea hao akina Adamo je, saizi wangekua mahabusu?
Hivi isingekuwa FM kumtafuta ^Homeboy,^ sasa hivi wangekuwa mahabusu? Think in all 16 dimensions!
 
Kwani Mbowe atakua wa kwanza kusingiziwa? Mbona wengi tu wanasingiziwa
Mkuu, mbona mnapoteza muda kumjibu huyo "MJINGAYEYE"!? Hana anachojua, zaidi ya kukariri, na CHUKI ZAKE BINAFSI!
 
Sasa kama Urio ndio mpishi wa makomandoo alafu anachezea kichapo kutoka kwa Kina Kingai, Mahita et al na kulia kama mtoto napata mashaka na uimara wa jeshi letu.
Mbona naona wengi mnasema Luteni amepigwa na sijaona hayo maelezo ilikuaje akapigwa na ni informer wao?
 
1. Alitaka awatumie, kisha awakane (as usual)! 2. Alitaka kulichafua jeshi la polisi na vyombo vya ulinzi na usalama 3. Alitaka ku-infiltrate ulinzi wa nchi na hivyo kushika dola ^vyovyote vile!^
Usiniambie nothing was done on the part of security details in order to ensure evil plot ya FM haifanikiwi! Lazima ilikuwepo back-up. You don't tell your enemy everything. Don't always expose your strategies. Understood?
 
Mbowe afanye ugaidi na luteni wa jeshi na jamaa wengine wa 3?
Hao ndo wakate miti, wachome vituo vya mafuta, nk?

Aliye tengeneza hii kesi mshamba sana
Who knows? Yale matukio ya ofisi kuchomwa moto, mauaji, vurugu na taharuki--mtekelezaji alikuwa nani?
 
Sure, ila sting operation sio lazima ihusishe askari kanzu. Kosa walifanya hapa kina kingai ni kuwahisha ukamataji. Kama walitaka kumsave sabaya, wangemchepusha tu, ili hao macomandoo wakamatwe red handed. ,
Former DC LOS alipewa taarifa na timu yake (separately na hii ya DCI); itakuwa ndio walitegua mtego mzima kabla ya kufika hatimani kama ilivyopangwa. Ndipo ulikuwa wakati wa kuwaweka watuhumiwa chini ya mkono wa sheria.
 
Unajua hao kina adamoo sio undercover?
I tell people: Usijekuwaona maafisa hawa wa jeshi wamefukuzwa, then ukadhani ni friends wako unaoweza ku-bagain nao deals! Nilipomsikia Lt. Urio akisema, ^Hata baada ya kufukuzwa kwao, tuliendelea kuwasiliana nao kama kawaida,^ nikajua hii ni zaidi ya nongwa kwa FM!
 
Waliambiwa waripoti chochote kinachoendelea, wakakubali. Then wakasema wenyewe kwamba deal imebadilika kutoka ulinzi hadi misheni chafu kule Moshi. Je walilazimishwa? Walishikiwa bastola?
 
Waliambiwa waripoti chochote kinachoendelea, wakakubali. Then wakasema wenyewe kwamba deal imebadilika kutoka ulinzi hadi misheni chafu kule Moshi. Je walilazimishwa? Walishikiwa bastola?
Huo ushahidi wa deal kubadilika sio maneno tu tunautaka.🤣🤣
 
Urio alipata wapi namba ya DCI? Huyu Urio atajuta kusema uongo hii kesi imetengenezwa kijinga sana.
Luteni wa jeshi akose namba ya DCI? Akose connection ya kuipata? Mbona FM alipata namba ya Luteni? Hamjiulizi kwamba FM aliitoa wapi?
 
Luteni wa jeshi akose namba ya DCI? Akose connection ya kuipata? Mbona FM alipata namba ya Luteni? Hamjiulizi kwamba FM aliitoa wapi?
Akasema walitumiwa pesa za kufanyia uhalifu....Wakili Acha tusiende huko🤣🤣
 
Uko sahihi kabisa kwa wanafuatilia wanafahamu adamoo aliwahi kusema walisikia luteni Urio analia walivyokuwa tazara
That's a tactical move. Wanajaribu kufanya ionekane kwamba ameshurutishwa kusema asichotaka ili wao wakwepe mkono wa sheria. Most probable!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…