Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Wafuasi wa mbowe mnaonesha ni jinsi gani mnaendeshwa na mihemko.
Nimekuuliza unamjua aliyempigia simu DCI boaz?
Hapa unajibu hoja gani au hii Ndiyo laana ya ujinga uliojitwisha kama jina lako lilivyo, jielekeze kwenye hoja. Wewe Hadi sasa una kitu kichwani si bure.
 
Urio kama uliwapeleka wanajeshi hao waliofukuzwa kazi kwa mbowe ili wakawe wasiri wako wa kukupa taarifa na kingai na DCI walilijua hilo kulikuwa na sababu gani ya kuwatesa kiasi kile wenzako?
Kiukweli wa haki mbele za Mungu wewe ndio chanzo cha matatizo yote hawa wenzako wanapitia iwe kifungo au kifo au mateso wewe ndio chanzo maana uliwatoa kwenye shughuli zao halali bila kuwaambia ukweli wote. Mungu akuangalie na wewe na ayapime mate do yako. Madogo hawana shida yoyote shida mnayo nyie mliopo kazini
 
Luteni wa Jeshi ana uwezo gani Jeshini kiintelejensia?
DCI na luteni wa Jeshi wapi na wapi?
 
Ugumu upoo.
Maana mbowe na kamanda urio walikutana mikocheni.
Wakapanga mipango.
Ndo maana nasema ili mbowe aonekane Hana hatia anatakiwa kwanza AMKANE URIO KUWA HAMJUI Wala hamfahamu.
Vinginevyo sioni mbowe akichomoka.
Akili zako na za huyo Urio zinafanana.
 
Kesi iwe ya michongo ama iswe ya michongo:-
  1. ni kesi
  2. Mbowe yuko rumande
  3. kesi inaendelea
  4. tusubiri hukumu
Na hukumu ya hapa duniani si hukumu ya haki,hukumu ya haki ni siku ya paradiso
 
Kati ya mbowe na kamanda urio Nani aliyewaambia hao makamanda kuwa kuwa Kuna kazi ya ulinzi?
Na Urio nae inabidi achukuliwe hatua kali za kisheria jeshini baada ya hii kesi kuisha
 
Ila kiukwel hapo jamaa kawaonea hao madogo hata kama wangetenda ugaid kwel..kwann awatumbukize kwenye matatizo.Yan unawatoa kwenye deal zao halali za kujitafutia kipato unawalengesha kwenye ugaid wakafie gerezani??
Je hii ni namna serikal/jeshk linawamaliza watu wake waliokwenda nao kinyumbe wakaishie gerezan kwa hofu ya wao kuendelea kukaa mtaani???

Au ndio roho mbaya tu ya urio kwa vijana wenzake.At 42 years urio mbona bado kijana mdogo tu kwanini akose huruma kwa vijana wenzie wanaotafuta maisha na wanafamilia na hawan background za mambo hayo zaid ya kulitumikia taifa??

HII IMENIUMA SANA.
Yan badala ya kuwatafutia vijana wako michongo ya kuendeleza maisha yao nje ya jeshi unaamua kuwatumbukiza segerea kwel??
Huu ni uuaji mkubwa. Kwani akina Bwire walimkosea nini Urio hadi awachomekee likesi la mchongo kama hilo? Kama kweli Mbowe alitaka kuchukua Dola si Urio angehusika moja kwa moja kuwezesha hayo mapinduzi? Kwanza ni mapinduzi gani ya nchi yafanywe na Mbowe na hao vijana wa watu? Yaani unawatafutia vijana wa watu kazi ya ulinzi halafu unaenda kwa DCI kuwachongea ili wakamatwe kwa Ugaidi! Jamani kwani ubinadamu umeenda wapi?
 
Inasikitisha maana mmoja alikua anapiga deal za kusafirisha gari za IT mwingine yuko zake anapiga mzigo SGR...
 
Back
Top Bottom