Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

ndo maana nasema mbowe alijichanganya kufanya kazi na hao wanajeshi.
Mpaka akawa anamtumia hela.
Katika akili hata za kawaida hauwezi kufanya mipango ya ulinzi na wanajeshi wakati wewe ni kiongozi wa upinzani.
Utaendelea kuwa mjinga hadi lini? Jaribu kulegeza via vya uzazi wako huenda ukawa na akili timamu.
 
Kiunganishi ni bwire,, akikiri tu kosa imekula kwa mr chairman
hamna kesi humo ndugu, ni utoropolo mtupu !! tunapoteteana muda tu watanzania kisa wanasiasa na madaraka.
 

^Nyinyi ni askari. Kile kiapo chenu hakijavunjwa. Nikamwambia kuwa mnaenda kufanya kazi kwa Freeman Mbowe, kazi ya ulinzi lakini mnapokuwa kwa Mwajiri wenu huko mnapokwenda, mkiona kuna mipango ya uhalifu mtakuwa mnaniambia.^

Gentleman (Homeboy) aliwatahadharisha wawe makini huko waendako. Sasa wao walifika na kufanya yao!
 
Hivi kweli Mbowe apange kufanya ugaidi halafu chama chake Cha CHADEMA kisihusike kwa namna yoyote?


Imetumika akili ndogo sana kupanga haya mashitaka.
Unamaanisha kwamba alitakiwa awaite wanachama wake wote pale ukumbini Mlimani City kisha wapange harakati za ugaidi kwa uwazi bila kificho? Kweli nyie ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo!

Nakushangaa sana kuwatuhumu wengine kwamba wametumia ^akili ndogo!^ Seriously?
 
Endelea kunishangaa mpaka baadaye utanielewa tu. Lt. Urio mwenyewe, ambaye FM alimfanyisha misheni nzima ya ugaidi ameeleza wazi kwamba vijana walikuwa wanatafutwa kwa ajili ya ^kazi maalum.^ Usichokielewa ni nini hapo?
 
Hivi hiyo meseji yule jamaa wetu wa juzi aliisoma kweli
 
Endelea kunishangaa mpaka baadaye utanielewa tu. Lt. Urio mwenyewe, ambaye FM alimfanyisha misheni nzima ya ugaidi ameeleza wazi kwamba vijana walikuwa wanatafutwa kwa ajili ya ^kazi maalum.^ Usichokielewa ni nini hapo?

Makomandoo wanne waliofukuzwa Jeshini wakawawa wanafanya vibarua mitaani wanaweza kusimamisha nchi???????? Hii ni Dharau
 
Kuna umuhimu mkubwa serikali na vyombo vya dola kuajiri watu wenye akili.
Inaonesha kuna tatizo kubwa sana la uwezo wa kufikiri kwa watumishi wa uma kuanzia juu kabisa.
Hata hivyo, shida ni kubwa zaidi kwa kuwa hao wenye uwezo mdogo wa fikra ndio hao hao wenye madaraka ya kuajiri au kupandisha vyeo.
 
Ishu ya msingi mbowe na kamanda urio walikutana mikocheni au hawajakutana?

walipanga hyo mipango au hawajapanga?

Mbowe anamfahamu kamanda urio?

Hayo mengine unayosema ni POROJO TU.

Mipango ya maana kabisa mwanaume mzima tena afisa wa jeshi iwe chini ya shilingi milioni moja? Hiyo si hela ya kuchukulia Machangudoa hapo corner bar? Ww ni bendera fuata upepo, ndio maana unabeba maneno ya igp unatuletea hapa
 
Swala la msingi je mbowe anamjua kamanda urio?
Walimfanya vikao vyovyote?
Alikuwa anamtumia hela?
Hizi nyingine ni POROJO TU.
mbowe na kamanda urio ndo wanajua ukweli.
Msikatae tu
Kwani Mbowe atakua wa kwanza kusingiziwa? Mbona wengi tu wanasingiziwa
 
Makomandoo wanne waliofukuzwa Jeshini wakawawa wanafanya vibarua mitaani wanaweza kusimamisha nchi???????? Hii ni Dharau
Akitokea mtu mmoja mtaani kwenu anatishia usalama wa nchi, utamwacha kwa kigezo kwamba hawezi kuwa na madhara yoyote, just because ni mmoja? Acha kudharau hivyo uwezo wa akili yako!
 
Sasa kwa vile Urio kasema basi inakuwa ni ukweli. Yaani Urio kukutana na Mbowe mara tatu nne tayari Mbowe angemuamini kumueleza siri kama hiyo ... Seriously!!

Sasa, hizo messege za Urio kutoka kwa Mbowe si azilete pia kama ushahidi ya kuwa wamekuwa na mawasiliano tangu 2012 kama marafiki ... Yaani hiki kituko walichokifanya kimeaibisha Jeshi na Police kwa ujumla. Urio anakuwa ndiye kachero mkuu, Kingai anapokea taarifa.
 
Sasa unachokataa nini?
Mbona Mambo yapo wazi?
Kwa mujibu wa kamanda urio mbowe ndiye aliyemtafuta akamwambia amtafutie vijana akampa na malengo yake..
It means FM asingemtafuta Lt. Urio, leo tungekuwa na mada zingine kabisa!
 
Ndo maana nasema mbowe na kamanda urio ndo wanajua ukweli.

Sasa Basi ili mbowe aonekane hakuwa na urio.

Inatakiwa AMKANE URIO KUWA HAMJUI.

Na kumbuka hapo hapo mbowe alikuwa anampigia simu kamanda urio,na miamala ya fedha alifanya.

KESI NGUMU HII

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…