Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Kati ya mbowe na kamanda urio Nani aliyewaambia hao makamanda kuwa kuwa Kuna kazi ya ulinzi?
 
Ndo maana nasema mbowe na kamanda urio ndo wanajua ukweli.

Sasa Basi ili mbowe aonekane hakuwa na urio.

Inatakiwa AMKANE URIO KUWA HAMJUI.

Na kumbuka hapo hapo mbowe alikuwa anampigia simu kamanda urio,na miamala ya fedha alifanya.

KESI NGUMU HII
Kwani Mbowe kukutana na Urio na kuongea naye Ndiyo inahalalisha kwamba yote atakayozungumza Urio yatakuwa sahihi.

Acha kupotosha!
Ninaweza kukutana na mtu tukaongea jambo, lakini mtu huyo akaenda kuripoti kwa mwingine ama kinyume na tulivyo ongea au akaongeza chumvi au kufupisha. Huu kwa lugha za mitaani wanauita "umbea".

Na hii haiwezi kuhalalisha kuwa taarifa ya "mbea" huyo kuwa ni sahihi eti tu kwa kuwa ni kweli tulikutana na yule rafiki yake, ktk hili lazima uthibitisho wa kilichozungumzwa utafutwe na uletwe ili kuondoa "umbea" huo

Mjinga wewe, jaribu kuficha hata kiwango Chako cha ujinga basi, maana kama wewe ndiyo unayetegemea upande wa washtaki, basi hata kama uchambuzi hauwezi tumia mfano huo wa mazingira yako.
 
Unamjua aliyempigia simu DCI boaz ni Nani!?
Kama wewe una AKILI au matope
 
Ishu ya msingi mbowe na kamanda urio walikutana mikocheni au hawajakutana?

walipanga hyo mipango au hawajapanga?

Mbowe anamfahamu kamanda urio?

Hayo mengine unayosema ni POROJO TU.

Huyo Urio ndio binadamu wa kwanza kukutana na Mbowe? Au kila anayekutana na Mbowe mikocheni wanapanga uhalifu? Umeng'ang'ana kutetea upuuzi toka jana mpaka umegeuka juha.
 
Sasa unachokataa nini?
Mbona Mambo yapo wazi?
Kwa mujibu wa kamanda urio mbowe ndiye aliyemtafuta akamwambia amtafutie vijana akampa na malengo yake..

You better stop this childish pls.
 
Ajabu mnawapeleka na kuwakamata mnawaweka gerezani mwaka na zaidi hii tia tia maji aisee. Tuamini tu kuwa huenda wanaendelea na kazi yao huko gerezani kumchunguza mbowe
 
Juha ni wewe..
Uliyeshikiwa akili na mwenyekiti.
Au unamuona mbowe ni malaika?
Huyo Urio ndio binadamu wa kwanza kukutana na Mbowe? Au kila anayekutana na Mbowe mikocheni wanapanga uhalifu? Umeng'ang'ana kutetea upuuzi toka jana mpaka umegeuka juha.
 
Pia huyo luten Denis Urio aulizwe kama anamfahamu luten Dickson E. Linje wa Kikosi Cha Nyumbu.

Huyo Linje alihusika pakubwa kubambikia askari kujihusisha na siasa. Hao askari wameumia sana na kupotezewa muda wao Bure.

Huyo lazima atakuwa anamfahamu Dickson E. Linje ni Capt kwa sasa Yuko Nyumbu kazi yake kubwa ilikuwa kubambikia askari kesi za either kumtukana rais au kujihusisha na siasa.
 
Endelea kunishangaa mpaka baadaye utanielewa tu. Lt. Urio mwenyewe, ambaye FM alimfanyisha misheni nzima ya ugaidi ameeleza wazi kwamba vijana walikuwa wanatafutwa kwa ajili ya ^kazi maalum.^ Usichokielewa ni nini hapo?
Siwezi kubishana na wewe. Una uelewa mdogo sana.
 
The young people think the old people are fools -- but the old people know the young people are fools"
— Agatha Christie
Chora picha hii!
FAM alivamiwa na goons wa CCM akavunjwa miguu. Na yule jambazi mkuu na Sabaya alikuwa amepanga amuue katika uchaguzi wa 2020 na infact alivamia hotelini aishi na nyumbani kumuua. FAM alikuwa amenusa hii hatari akajipanga na kuajiri walinzi mahiri wa kupambana na yule jambazi sabaya na goons wake. Alimtumia Denis kumtafutia walinzi kweli na hata akina adamoo mara kadhaa wametaja VIP protection. Katika pilika za kutaka kumuua FAM Sabaya na genge lake walinusa mkakati madhubuti wa ulinzi wa FAM ikabidi waintercept. Hii inajionyesha detail yote ya kuwafuatilia watuhumiwa waliotoka Dar Morogoro na Dodoma lilifanywa na polisi wa arusha kwa Sabaya. Mkakati ulikuwa na blessings za yule shetani wa chato hivyo hata interception na kuchonga ugaidi kwa wale vijana wanne ulipangwa na kutekelezwa kabla ya uchaguzi. Walikuwa hawana shughuli na FAM kwa sababu kazi yao ya kumzuia ilikuwa imefanikiwa.
Denis alikamatwa kwa kutaka kumsaidia FAM na hivyo kukwamisha mpango wa kishetani wa Sabaya na JPM. Denis alipigwa sana kulazimishwa ashiriki mchongo. Na hata simu alinyang'anywa zote.
Shida ya FAM ni kuja kutaka kumuudhi hangaya na hivyo hicho kiporo cha akina adamoo kikamuangukia. Ukweli ni kwamba walitaka wamblackmail ili asitishe harakati za kisiasa. Sasa shetani ametoka kwenye chupa FAM haombi radhi na anataka iendelee.

Dunia inajua na inaona! wastaarabu hata waovu wanajua na wanaona- Hii ni kesi ya mchongo!!
 
Kesi iwe ya michongo ama iswe ya michongo:-
  1. ni kesi
  2. Mbowe yuko rumande
  3. kesi inaendelea
  4. tusubiri hukumu
 
Kesi iwe ya michongo ama iswe ya michongo:-
  1. ni kesi
  2. Mbowe yuko rumande
  3. kesi inaendelea
  4. tusubiri hukumu
Hukumu ya mchongo ije tu!! hakuna shida! it will be another blessing in disguise
 
SIo KESI NI Tamdhilia nzuri sana,hakika muandika hadhi hii,nimtaalamu Sana. Tamu Sana.
Hivi kiupeo WA mtoto WA chekechea ukiangalia si hasidhi ya kutungwa? Nahitaji anatiririka Kama anasoma mahala. Kakaririshwa.
 
Kwanza urionkatofautiana na wafungua maahitaka. Miezi aliyo SEMA kakutana na MBOWE NI tofauti na yamshitaka. Angalia mwaka anaosema Ueionna angalia mwaka alio shikwa.
 
Ni kweli NI hadithi na ndio itakomfunga mbowe
SIo KESI NI Tamdhilia nzuri sana,hakika muandika hadhi hii,nimtaalamu Sana. Tamu Sana.

Hivi kiupeo WA mtoto WA chekechea ukiangalia si hasidhi ya kutungwa? Nahitaji anatiririka Kama anasoma mahala. Kakaririshwa.
 
Unamjua aliyempigia simu DCI boaz ni Nani!?
Kama wewe una AKILI au matope
Hapa unajibu hoja gani au hii Ndiyo laana ya ujinga uliojitwisha kama jina lako lilivyo, jielekeze kwenye hoja. Wewe Hadi sasa una kitu kichwani si bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…