Mkuu hawa Jamaa lazima wapoteane kwani mwanzoni kabisa Hangaya akisema hawa Watuhumiwa wenzake na Mbowe walishahukumiwa Kwa kosa la ugaidi. Mara ya pili akajakusema kinachowakabili Watuhumiwa wale hasa Mbowe ni kosa la kutoheshimu Mamlaka...
... sahihi 100% Mkuu. Mambo ya michongo ukikutana na brains zinazofanya kazi; ukikutana na binadamu wanaojitambua kwanini wako duniani lazima mpoteane.
Kwenye Hilo la miaka miwili haliwezekani mkuu,kesi ya Ugaidi na Uhujumu uchumi ikishaanza kusikilizwa mahakamani,hapaswi kusikilizwa zaidi ya miezi Tisa,uwe umepeleka mashahidi wote au la...