Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

Mkuu kwa hiyo na wewe uko upande wa watesi? Mie nadhani haki ijadiliwe na watu wote. Hata kama upo CCM na kichwani ubongo hakuna, basi jaribu kumhurumia binadamu mwenzako.
Wala usihangaike nae. Ajiongeze kidogo tu ajifunze kwa Ndugai.
 

TOKA MAKTABA :

Tanzania ilivyotengwa, jinamizi la vikwazo kukaribia kutekelezwa na kukaripiwa kidiplomasia kwa awamu mbili za utawala wa CCM yaani ya 5 na awamu ya 6 ya uongozi wa serikali ya CCM :

Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje wa Bunge la ulaya akataa ripoti iliyoonesha matumaini ya mabadiliko ktk utawala wa awamu ya sita David James McAllister MEP ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge la Ulaya ametoa hotuba nzito na kuwalaumu wataalum wa Umoja wa Ulaya waliotoa ripoti...
 
Hii kesi umesaidia kufahamu mengi maovu yanayotendeka chini ya kapeti
 
Kwa hii kesi kwa kujikanganya kule hata wangekuwa na mashahidi Milioni wasingetoboa if haki ikimaraki!!!
Mashahidi wameumbuka sana ni Aibu kubwa kuwapiga watu kuwatesa waseme wakili ugaidi hewa feki huku Lt Urio akigeuka kuwa shahidi wakati awali alikamatwa akapigwa sana akateswa vibaya lakini kwa njaa zake amejitoa fahamu zote kawageuka wenzake kawa shahidi wa kingai mahita walewale waliompiga kumtesa kule Tazara
 
Aisee siyo siri home ss hv hadi wananiita Kibatala mtu akizingua tu naanza kumpa yale maswali kama ya Kiba....utasikia sitaki maswali yako ya kina Kibatala.... kwa kifupi nina basic Cert ya Law kwa kupitia hii Case!!!
Wengi wamepata Elimu kubwa ya Sheria kupitia hii kesi ya mbowe ndiyo maana marehemu magufuli aliipuza kwa kujua hilo
 
Upande wa Mashitaka umefunga ushahidi bila kumlete mlalamikaji DCI Boaz pakoje hapo?
Wameona huenda ikaja kuwa Aibu kubwa zaidi endapo ataulizwa maswali kama aliyoulizwa Lt Urio na Swila
 
Yupo na mahita ambaye aliwanyanyasa kuwatesa kuwapiga walinzi wa mbowe kuwalazimisha wakili ugaidi hewa feki huku akishirik kumgeuza Lt Urio kuwa shahidi toka kuwa mtuhumiwa , kingai na kikundi chake washitakiwe The Hague pindi kesi ikimalizika
 
ingekuwa Aibu kubwa endapo DCI angekutana na maswali kama aliyokutana nayo swila na Lt Urio
 
SSH lazima kapewa makavu live na beberu wa EU. Mnafungaje shitaka wakati BOAZ na SIRRO hawajapanda? Ukweli hii kesi imefunua uozo wa jeshi la polisi.
 
SSH lazima kapewa makavu live na beberu wa EU. Mnafungaje shitaka wakati BOAZ na SIRRO hawajapanda? Ukweli hii kesi imefunua uozo wa jeshi la polisi.
Aibu kubwa sana siku ingine ha watathubutu kutengeneza kesi bandia kama hiyo
 
Baada ya kesi lazima mahita na kikundi chake wawalipe fidia kwa kuwapiga kuwatesa walinzi wa mbowe, wamewapa vilema vya kudumu kwa uonevu mkubwa
 
Uyo hakudanganywa bali ni yeye tu kichwa kigumu
 
Kwanini hawakumleta Siro?

Hapo ndio tungejua uwezo wa kufikiri wa police chief.

Angedharaulika kuliko ma traffik wake wanachukua rushwa Kama mchwa
 
Samahan lkn nauliza tu, hivi Kibatala anavosimamia hii kesi malipo yake analipwa na Mbowe, au anasimamia km mwanasheria wa chamaa au kesi haihusu chama ina muhusu mbowe km Mbowe.
sosi wanachama wa chadema, walioko nchini tanzania na diaspora ndio tunagaramia hao mawakili wote, sio tu kibatala, swali lingine pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…