Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

Hiyo hiyo ya kutunga ili ionekane ni ya kutunga kweli. Hakuna kupita bila kupingwa. Na kwa taarifa yako sheria ya makosa ya uhujumu uchumi imeelekeza usiyo yataka- Mbowe atasimama kizimbani ajitee ili ashinge kihalali na kisheria pia.- Itapendeza. Au afungwe kwa mjibu wa sheria
 
Yanakuhusu nini ?

Nyie mlishachonga kesi basi .
Mengine muwaachie Cdm.
Alikamatwa akiwa kwenye shughuli za chama Mwz. Hakuwa shambani kwake
Hakukamatwa shambani yes lakini hatujapewa ushahidi wowote kuwa Chama kilimtuma aajiri magaidi. Wagombea wa CHADEMA walikuwa tayari kushindwa au kushinda, hakuna hata mmoja aliyesema atachukua dola "kwa vyovyote vile". Hata Mhe. Tundu Lissu na ukurupukaji wake hakuwahi kusema achukuwe dola kwa nguvu, sana sana alisema tuhamie barabarani kutetea kura zetu ambayo ni haki yetu kisheria. Nionavyo hili ni deni la Mbowe pekee apambane nalo - zikitumika hela za umma (ni ruzuku ya TAMISEMI) tutamuomba CAG atoe audit query ijadiliwe Bungeni na wawakilishi wa Wananchi.
 
Mimi nimeuliza kuhusu tar 18,Jaji anakuja kuamua jambo gani?
Hii uliyoleta haihusiki, hiyo ni kwa kesi hewa na kesi za kawaida. Ya uhujumu ni Section 41 ya Sheria ya Uhujumu inayomtaka Jaji amwagize mshitakiwa ajitetee iwapo yeye (Jaji) ataona mashtaka yana mshiko. Akiona haina mshiko kwa ugaidi, anaweza kumtaka ajitee kwa kosa linginela chini yake, mathalani miamala au kuleta taharuki. Haina kipengele cha kuachiwa wala haina kipengele cha "no case to answer" kama ilivyoombwa. Jaji hana haja ya kusoma kurasa 10,000 za maandishi kwa sababu hatoi hukumu mtu anyongwe au afungwe, atamtaka ajitetee tu, very simple.
 
Mkuu umeeleza vzr mno, tatzo kubwa la watu hum wanaiona kesi hii Kama ushabiki wa Simba na yanga au ccm na cdm, na hapo ndipo tatzo linapoanzia, tayari mawakili wa serikal wamefunga ushahid, Sasa Ni swala na mahakama kuamua kwamba wanakesi ya kujib au la, ili fearness game iwepo,

Toka mwanzo tulisema hizi kesi za kisiasa zikipelekwa mahakamani tuziache ziamuliwe kisheria, Sasa let's wait on Friday, then ndo tuje Sasa kwenye kutoa maoni...hata mm najizuia kutoa maon yangu maana ntaingilia Uhuru wa mahakama,

Halafu lipi Jambo la ushahid, nahis watu wengi hawaelewi, unaweza kuwa na kesi na ukapeleka majina ya watu 50 na wakaja 15, ukafunga ushahid, hyo inamaana kuwa kutokana na mwenendo wa kesi huenda tayari upande wa utetezi wamesaidia Bila kujua, hvyo wanaona kuwaleta wengine zaidi unaweza kuharibu ushahidi uliopo au kupoteza mda tu kwa kurudia kikekile,

Binafsi nawapongeze mawakili wote wamejitahid kuuliza maswal, na majib yamepatikana vzr,

Pengine nmpongeze Sana jaji, amekuwa fear mno, amebalance sheria hakuwa na mhemko wa kisiasa, kwa ujumla tumejifunza namna ya kesi zinavyoendeshwa,

Mwisho japo si kwa umhim watoa taarifa, wamekuwa waaminifu, japo hakuleta neno kwa neno Ila walao tuliona maandishi tukasoma btn the lines na body language za wahusika,

Tusubri maamzi ijumaa,
 
Maamuzi ya kesi yanayoenda kutolewa yatawashangaza wengi,itakuwa kinyume na matarajio ya wengi.Labda siyo mahakama ya Tanzania.

Bora aibu ya siku 1 kulko aibu ya miezi 5 mingine kitendo cha kesi hii kuendelea hao 11 waliokimbia watatakiwa kuja kujibu kesi akiwemo IGP na marais wetu
 
Speak ina wahatever language you may wish to; this case was politically fabricated
 
Mungu na awatendee wanachostahili.

Najua huko Brussels anafatilia Updates za Suley, The Sherif, Joving journalist na Nyendo
 
Mbowe ni smart sana kaona mama SSH anaenda kuonana na Mzungu akamtia kizunguzungu. Hili la kutopewa chakula anapoenda kukutana na Beberu wa EU lazima atakutana na hili jambo.
Mchaga na mswahili nani wenye akili mingi? Mbowe ni akili mingi sn tofauti na mswahili wa kwenye karafuu pekee
 
I predict: No case to answer. Reason? The case is embarrassing the state machinery.
 
Wewe uko upande upi?
 
Ninasita kukusapoti maana hiyo tarehe 18 Feb inaweza kuwa tofauti kabisa na ulichoeleza hapa.
 
PUMBA, hatuongelei idadi ya mashaidi. Tunachojadili ushaidi uliotolewa una jitosheleza kufanya watuhumiwa wawe na kesi ya kujibu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…