comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Kesi iende hatua ya inayofuata ambayo ni watuhumiwa waanze kujiteteaMimi nimeuliza kuhusu tar 18,Jaji anakuja kuamua jambo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi iende hatua ya inayofuata ambayo ni watuhumiwa waanze kujiteteaMimi nimeuliza kuhusu tar 18,Jaji anakuja kuamua jambo gani?
Hiyo hiyo ya kutunga ili ionekane ni ya kutunga kweli. Hakuna kupita bila kupingwa. Na kwa taarifa yako sheria ya makosa ya uhujumu uchumi imeelekeza usiyo yataka- Mbowe atasimama kizimbani ajitee ili ashinge kihalali na kisheria pia.- Itapendeza. Au afungwe kwa mjibu wa sheriaApande kizimbani ajitete kwa tuhuma zipi? Akajitete kwa stori aliyotunga Urio? Aibu mliopata ya kushidwa kuthibitisha tuhuma mlizozianzisha haziwatoshi?
Ni mahakama ya kipumbavu tu ndio inayoweza kuendelea kusikiliza shauli lililo based kwenye stori tu ya kutunga bila ya kuwa na concrete evidence
Jaji atajishusha sana hadhi yake
Mkuu mie sikutunga hiyo sheria. Kama huitaki hamia Somalia.So what? Jamaa una roho ngumu zaidi ya jiwe!
Hakukamatwa shambani yes lakini hatujapewa ushahidi wowote kuwa Chama kilimtuma aajiri magaidi. Wagombea wa CHADEMA walikuwa tayari kushindwa au kushinda, hakuna hata mmoja aliyesema atachukua dola "kwa vyovyote vile". Hata Mhe. Tundu Lissu na ukurupukaji wake hakuwahi kusema achukuwe dola kwa nguvu, sana sana alisema tuhamie barabarani kutetea kura zetu ambayo ni haki yetu kisheria. Nionavyo hili ni deni la Mbowe pekee apambane nalo - zikitumika hela za umma (ni ruzuku ya TAMISEMI) tutamuomba CAG atoe audit query ijadiliwe Bungeni na wawakilishi wa Wananchi.Yanakuhusu nini ?
Nyie mlishachonga kesi basi .
Mengine muwaachie Cdm.
Alikamatwa akiwa kwenye shughuli za chama Mwz. Hakuwa shambani kwake
Hii uliyoleta haihusiki, hiyo ni kwa kesi hewa na kesi za kawaida. Ya uhujumu ni Section 41 ya Sheria ya Uhujumu inayomtaka Jaji amwagize mshitakiwa ajitetee iwapo yeye (Jaji) ataona mashtaka yana mshiko. Akiona haina mshiko kwa ugaidi, anaweza kumtaka ajitee kwa kosa linginela chini yake, mathalani miamala au kuleta taharuki. Haina kipengele cha kuachiwa wala haina kipengele cha "no case to answer" kama ilivyoombwa. Jaji hana haja ya kusoma kurasa 10,000 za maandishi kwa sababu hatoi hukumu mtu anyongwe au afungwe, atamtaka ajitetee tu, very simple.Mimi nimeuliza kuhusu tar 18,Jaji anakuja kuamua jambo gani?
Na sio kwamba wamegoma wao.
Mkuu umeeleza vzr mno, tatzo kubwa la watu hum wanaiona kesi hii Kama ushabiki wa Simba na yanga au ccm na cdm, na hapo ndipo tatzo linapoanzia, tayari mawakili wa serikal wamefunga ushahid, Sasa Ni swala na mahakama kuamua kwamba wanakesi ya kujib au la, ili fearness game iwepo,SAWA. Ila UHALIFU nao unamwisho na malipo ni hapa hapa duniani.
Mkuu mawakili wa mashtaka wametoa sababu- wanaamini wanaweka ushahidi wa kutoa wa kuwapata na kesi ya kujibu- sasa wapewe nafasi ya kujitetea ili humukumu itolewe. SIDHANI KAMA KUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAWEZA KUTOA MAONI HAPO.
Leo ni Jumanne ya Februari 15, 2022- unatoa maoni gani hapo. Ukitoa nitashangaa sana.
Maamuzi ya kesi yanayoenda kutolewa yatawashangaza wengi,itakuwa kinyume na matarajio ya wengi.Labda siyo mahakama ya Tanzania.
Speak ina wahatever language you may wish to; this case was politically fabricatedMkuu umeeleza vzr mno, tatzo kubwa la watu hum wanaiona kesi hii Kama ushabiki wa Simba na yanga au ccm na cdm, na hapo ndipo tatzo linapoanzia, tayari mawakili wa serikal wamefunga ushahid, Sasa Ni swala na mahakama kuamua kwamba wanakesi ya kujib au la, ili fearness game iwepo,
Toka mwanzo tulisema hizi kesi za kisiasa zikipelekwa mahakamani tuziache ziamuliwe kisheria, Sasa let's wait on Friday, then ndo tuje Sasa kwenye kutoa maoni...hata mm najizuia kutoa maon yangu maana ntaingilia Uhuru wa mahakama,
Halafu lipi Jambo la ushahid, nahis watu wengi hawaelewi, unaweza kuwa na kesi na ukapeleka majina ya watu 50 na wakaja 15, ukafunga ushahid, hyo inamaana kuwa kutokana na mwenendo wa kesi huenda tayari upande wa utetezi wamesaidia Bila kujua, hvyo wanaona kuwaleta wengine zaidi unaweza kuharibu ushahidi uliopo au kupoteza mda tu kwa kurudia kikekile,
Binafsi nawapongeze mawakili wote wamejitahid kuuliza maswal, na majib yamepatikana vzr,
Pengine nmpongeze Sana jaji, amekuwa fear mno, amebalance sheria hakuwa na mhemko wa kisiasa, kwa ujumla tumejifunza namna ya kesi zinavyoendeshwa,
Mwisho japo si kwa umhim watoa taarifa, wamekuwa waaminifu, japo hakuleta neno kwa neno Ila walao tuliona maandishi tukasoma btn the lines na body language za wahusika,
Tusubri maamzi ijumaa,
Mtalaam kashasema mimi ni nani wa kupinga. ImedhihirikaNlikuwa naongea na wakili mmja nguli
Tulikuwa kwenye kilaji!akaniambia ukiwa
Na kesi ukileta mashahidi wengi lazima utajichanganyaa tu
Ova
Baada ya Lissu ni Kibatala kwa sasaShahidi: Hilo siwezi kujibu
Kibatala: Huwezi kujibu kwa sababu hutaki au hujui?
Shahidi: Rudia swaili.
Ila cross examination ni burudani tosha.
Yule Boaz angekufa na kisukariShahidi amepaniki vibaya mno.
Mungu na awatendee wanachostahili.wewe unafkiri wanaweza kusema kuna kesi ya kujibu wakati DPP hakuhojiwa! maana yeye ndiye msingi wa kufungua hii case! hao wamepigiwa simu leo mchana wakati wa chakula!
biashara ikaishia hapo
kuna uwezekano mama akirudi kutoka nje atafukuza watu wengi tu kwenye mifumo hii
Mchaga na mswahili nani wenye akili mingi? Mbowe ni akili mingi sn tofauti na mswahili wa kwenye karafuu pekeeMbowe ni smart sana kaona mama SSH anaenda kuonana na Mzungu akamtia kizunguzungu. Hili la kutopewa chakula anapoenda kukutana na Beberu wa EU lazima atakutana na hili jambo.
Yote ni makosa makubwa snHivi kughushi nyaraka na kuchonga kesi tofauti yake ni ipi?
I predict: No case to answer. Reason? The case is embarrassing the state machinery.Wa kwanza.
Wananzengo, huu utaratibu wa judge kuandika mwenyewe, ina tija kweli katika kufanikisha usikivu kwa hoja, kuona katikati ya mistari kwa kusoma picha ya uso msemaji anaposema, na uhakika wa usahihi wa kinachoandikwa?
Ninadhani kuna umuhimu wa kuwa na wachapishaji wa kuandika kwa shorthands zaidi ya wawili hasa kwenye mashauri makubwa kama haya, ili kuepuka makosa ya uandishi, upotoshaji wa makusudi, na utulivu kwa judge.
Mara kadhaa nimeona Mh. Judge mjadala ukiendelea, wanapo refer kwake, anauliza. "Ulikuwa unasemaje kweli?". Kitu kinachoashiria uwezekano mkubwa wa omissions, additions au alterations ambazo zinaweza kuathiri hatima ya shauri bila kitu cha kulinganishia kwenye rufaa.
Ushauri wangu, kama hakuna wataalam wa kuandika, kuwe na tape au video recording ili ikitokea ubishi waweze ku re-play badala ya kutegemea Judge kaandika nini.
Wewe uko upande upi?Kesi inachosha na kuboa.
Waamue moja tu, kama wanataka kumchelewesha huyo mzee na wafuas wenzake kudai lile walitakalo wafanye wanavyotaka, sio kuhusisha mahakama na jeshi la polisi ktk kesi zisizo na msingi.
Wafute kesi ama waendelee kupoteza muda, sion muafaka wa hii kesi kama kila mmoja wao atajiona mshindi na ana haki, ni mmoja apo agive-up no way out
Ninasita kukusapoti maana hiyo tarehe 18 Feb inaweza kuwa tofauti kabisa na ulichoeleza hapa.Hii uliyoleta haihusiki, hiyo ni kwa kesi hewa na kesi za kawaida. Ya uhujumu ni Section 41 ya Sheria ya Uhujumu inayomtaka Jaji amwagize mshitakiwa ajitetee iwapo yeye (Jaji) ataona mashtaka yana mshiko. Akiona haina mshiko kwa ugaidi, anaweza kumtaka ajitee kwa kosa linginela chini yake, mathalani miamala au kuleta taharuki. Haina kipengele cha kuachiwa wala haina kipengele cha "no case to answer" kama ilivyoombwa. Jaji hana haja ya kusoma kurasa 10,000 za maandishi kwa sababu hatoi hukumu mtu anyongwe au afungwe, atamtaka ajitetee tu, very simple.
PUMBA, hatuongelei idadi ya mashaidi. Tunachojadili ushaidi uliotolewa una jitosheleza kufanya watuhumiwa wawe na kesi ya kujibu??Mkuu umeeleza vzr mno, tatzo kubwa la watu hum wanaiona kesi hii Kama ushabiki wa Simba na yanga au ccm na cdm, na hapo ndipo tatzo linapoanzia, tayari mawakili wa serikal wamefunga ushahid, Sasa Ni swala na mahakama kuamua kwamba wanakesi ya kujib au la, ili fearness
Tusubri maamzi ijumaa,