Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

Hata state attorney wameshaona kwamba wanajidhalilisha maana Kuna tym wanatoka mchezoni kisa Shahid kayavuruga wanaonekana hawana ubinadamu Ila ndo hvo waneambiwa waende hvo hvo sometimes unaona kabisa hapa napigwa nipeleke nolle Ila unapelekaje kiongozi wako kabana.
 
Sijui ni mimi tu, ila wakianza mawakili wa serikali hata interest ya kuendelea kusoma inapotea kabisa.
Ni kwa kila Mtu Mkuu, maana kufuatilia maelezo ya Shahidi anapoongozwa na Wakili wa Serikali, katika kesi ya Mchongo ni sawa na kushuhudia Uongo, jambo ambalo ni chukizo kwa Mungu.

Hongera kwa kuepuka dhambi!
 
Before the law the defense doesn't have to prove anything they say, they can say anything they want, without proving it. What a shame.
 
IGP pia aliwahi kumhukumu Mbowe, anatakiwa kupanda kizimbani kuthibitisha madai yake.
 
Mkuu maelezo yote ya nini? Muuliza swali anataka kujua
Kesi hii ni ya Mbowe au ya CHADEMA?
 
Ni mashahidi 13 tu kati ya 23 wa Jamhuri wameweza kuja kutoa ushahidi...

Mashahidi 10 wamekataa na kusema isiwe taabu kwenda kupoteza muda na kuabishwa kizimbani kwa mambo ya uongo na kutunga...

Tarehe 18/2/2022 ni siku ya ijumaa tu. Hii siku muhimu sana...

Wapenda HAKI wote na mlioko DSM na mnaoweza kufika mahakamani, fikeni mahakamani kwa wingi kwa ajili kumpokea M/Kiti CHADEMA - Taifa na wale vijana masikini watatu toka katika safari ndefu ya miezi takribani 5 au 6 ya kuishi kifungoni gerezani kwa mateso ya watesi wake CCM na serikali yao...

Hata kipofu ameona. Hata watoto wameona kuwa, alichofanyiwa Freeman Mbowe ni unyama na uhuni usiostahili kuvumiliwa hata kidogo...

Huwezi kumfanyia binadamu mwenzio ukatili na uhuni wa namna hiyo kwa sababu ya madaraka ya kisiasa tu....

HUU NDIYO UTAKUWA UAMUZI WA MAHAKAMA BILA HATA YA SHAKA YOYOTE:

JAJI: Baada ya kusikiliza ushahidi wa waleta mashitaka [Jamhuri] na kwa kuzingatia maelezo marefu niliyokwisha kuyasoma, mahakama hii imejiridhisha pasipo shaka yoyote kuwa, ushahidi uliowasilishwa na upande wa Jamhuri una matobo mengi na umejaa mashaka matupu...

Kwa mujibu wa CPA kifungu cha.... mabano....., ili kumtia hatiani mshitakiwa yeyote ni lazima anayeshitaki athibitishe kosa/makosa ya mshitakiwa kwa ushahidi ulionyooka na usioacha hata chembe ya shaka...

Kwa sababu hii, natamka kuwa washitakiwa wote wanne HAWANA KESI YA KUJIBU na mahakama hii kuanzia sasa inawaachia huru. NATOA AMRI....!!
 
Mlisema
  1. hatakamatwa
  2. hatafikishwa mahakamani
  3. 14/12 Nolle prosequi italetwa na DPP
  4. Shahidi wa 13 amekimbia
  5. Tutamlisha Mbowe milo yote kama MFALME
  6. MAWAKILI WAPO NA HAWAHITAJI MALIPO
  7. nk nk

NANI AWAAMINI? TUSUBIRI
 
Upande wa Mashitaka umefunga ushahidi bila kumlete mlalamikaji DCI Boaz pakoje hapo?
Boaz kakimbia aibu na kaona aibu pia kuifuta hii kesi sasa maelezo wamempa Jaji na jaji tarehe 18 atatoa amri ya hawana kesi ya kujibu
 

Wakili kiongozi wa jopo la upande wa utetezi anaendelea kudai mwenendo wa kesi uende inavyotakiwa, angalau nao upande wa utetezi wahitimishe hatua hii muhimu ikiwepo rekodi safi.
 
Hivi kughushi nyaraka na kuchonga kesi tofauti yake ni ipi?
Shahidi aliulizwa kama kuna watu waliofungwa kutokana na shauri hili shahidi akasema hakuna.
Sasa yule aliyemdanganya rais ajiandae. Anastahili adhabu kali kwa kumfanya rais auambie ulimwengu hayo. Asipoadhibiwa ni shida nyingine. Au huyo mtu aanze kutubu kama Ndugai, nimekosa mimi. Nimekosa mii...
 
🤣🤣🤣🤣,mashahidi 11 wameingia mitini!
Daaah kesi za michongo bhana!
 
Upande wa Serikali haujatutendea haki! Binafsi, nilipenda KINGAI na BOAZ nao waje wakabiliane na maswali ya akina Kibatala, Nashon, Mtobesya nk. Huyo Swila, kuna maswali mengi ameshindwa kuyajibu, na kudai Boaz na Kingai ndiyo wanaojua! NIMEHUZUNIKA!
Mbona Kingai ndiye alikuwa shahidi wa KWANZA
 
Badala ya kufundishana somo la Uraia la akina Kinjekitile bora wafundishwe PGO itawasaidia maishani
Kwa Sasa PGO ni muhimu kwa kila mtu. Ukikamatwa tuu muulize mkamataji unaikamata kwa kosa gani na kwa mujibu wa PGO gani
 
Mlisema
  1. hatakamatwa
  2. hatafikishwa mahakamani
  3. 14/12 Nolle prosequi italetwa na DPP
  4. Shahidi wa 13 amekimbia
  5. Tutamlisha Mbowe milo yote kama MFALME
  6. MAWAKILI WAPO NA HAWAHITAJI MALIPO
  7. nk nk

NANI AWAAMINI? TUSUBIRI
Sasa mnakuja nangonjera nyengine baada ya kuona gari bovu mliloliwasha halitembei vizur na kuanguka nalo. Lete screeshort ya hayo uliyoyanukuu kutoka kwa mwanachadema aliyesema.


Usilazimishe mambo ndugu. Kila siku ulikuwa unasema mbowe ni gaidi hafai Sasa umeshaona kwamba ushahid mlioutoa haukidhi mahitaji ya sheria ya kuwatia hatiani bila yaa hila za kidhulma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…