Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

Nilitegemea na DCI Boaz naye atatinga ndani ya nyumba pamoja na Mzee Sirro ili kupambana na mawakili wasomi wa upande wa utetezi! Sasa ndiyo basi tena! ☹️

All in all, Jaji angeifutilia mbali tu hii kesi. Maana haina kichwa wala miguu. Watuhumiwa nao wakifungua kesi ya kudai fidia, kwa unyanyasaji walio fanyiwa na polisi! itakuwa poa sana.
 
Shahidi: TSh 300,000, na Mheshimiwa Mbowe alitupatia TSh 200,000 kila Mmoja Kwa ajili ya a kwenda Kununua Mavazi, Kesho yake tulikuwa tunaenda Kumpokea Tundu Lissu, Kesho yake Tarehe 27 Tulielekea airport Kumpokea Mheshimiwa Tundu Lissu.

Shahidi: Ambapo Mheshimiwa Mbowe na Khalfani Bwire Binafsi walikuwa katika Gari yake Nyeusi....

Kibatala: Inatosha hapo, Nina Maswali Kadhaaa

Shahidi: MHESHIMIWA JAJI NAOMBA NIENDE WASHROOM (CHOONI)

Yaani ukiajiriwa na mwenyekiti wa CHADEMA taifa, polisi inaona ni kosa kubwa utatungiwa lolote la kufikirika
 
Nilitegemea na DCI Boaz naye atatinga ndani ya nyumba pamoja na Mzee Sirro ili kupambana na mawakili wasomi wa upande wa utetezi! Sasa ndiyo basi tena! ☹️

All in all, Jaji angeifutilia mbali tu hii kesi. Maana haina kichwa wala miguu. Watuhumiwa nao wakifungua kesi ya kudai fidia, kwa unyanyasaji walio fanyiwa na polisi! itakuwa poa sana.
upande wa serikali wameona wasiwasumbue wasitaafu wale kiinuamigongo yao vyema wasije kudhalilika mahakamani sa hii kwa kuombaomba kila mara kwenda toilet
 
Pamoja na mbwembwe zote kuwa jamhuri kusema italeta mashahidi 25 ktk kesi hii Leo wameomba poo kuishia shahidi wa13 huku mashaidi 12 walio tueleza wangekuja kuyeyuka na kutokomea kusiko julikana.

Shahidi huyu wa leo ndiye aliye mwambia Mh.Jaji leo kuwa taarifa za chifu Hangaya alizosema akihojiwa na BBC kuwa Kuna watuhumiwa wamehukumiwa ktk kesi hii alibakia Mbowe pekee kwa kuwa alikimbia nchini ni za uongo and Nonsense.

Pia alikiri kuwa alifungua hii kesi kwa maelekezo tuu ya mdomo toka kwa Kingai kabla ya mlalamikaji kuhojiwa au kutoa maelezo. Hii Ina maana walifungua kesi kwanza halafu mlalamikaji ndio akajitokeza na kutafuta watuhumiwa wa Ugaidi watakao husika ktk kesi hiyo. Ni sawa na kuandika igizo lako halafu unatauta waigizaji baadae. (Kesi ya kubumba)

Pia alisema ushahidi ktk kesi hii ni wa kuunga unga dot, huwezi upata ushaidi ukiwa umenyooka moja kwa moja kwa kuwa maelezo hayo hayapo kihivyo.

Pia Tukumbuke Shaidi huyu kuna siku alikuwa akiongea mwenyewe Mahakamani bila kuulizwa na mtu Mahakama ikabakia imeduwaa haijui anaongea vitu gani. Sijui ni maonyo alikuwa anapewa kutoka kwa mwenye enzi au ni machozi na damu za watu zilikuwa zikimlilia hatujui.

Tuendelee kula kwa urefu wa kamba zetu.

Mungu yupo na hadhihakiwi anachukia Sana kuonewa kwa mtu asiye na hatia.

Mungu anapo jibu maombi ya watakatifu huwa anajibu kwa Moto na kishindo chake hakuna wa kusimama.
Leo_Mh._Freeman_Mbowe_akiwaaga_watu_ndani_ya_viwanja_vya_mahakama_akirejea_Magereza_akiwa_ames...jpg
 
Si tulikubaliana tuna mashahidi 23 jamani, mfanye kuwaleta wengine hata wawili basi, au ndo mmegundua nn kwani mbona wote wanao ushahidi mzuri jamani ninyi Jamhuri mbona hvyo lkn?

Jamhuri imeghairi ? ina maana upande wa Jamhuri hauoni tena umuhimu wa mashahidi wengine kumi upande wa Jamhuri kuletwa mahakamani ili watoe ushahidi usio na shaka ili haki itendeke ?!
 
Back
Top Bottom