Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You got it,that's what i was talking about.Hahahaa Hayati alitumia vibaya sana madaraka yake. Kabla script haija toka walipandishwa vyeo wote whichi means mchongo huo ulikuwa kwa Hayati na Igp.
Kibatala: Katika kumfuatilia Freeman Mbowe kama Suspect Wa Ufadhili Wa Ugaidi, Je Mlikuwa Mnamfuatilia Freeman Mbowe Movement Zake za Ndani na Nje ya Nchi
Shahidi: Nilikuwa sifuatilii, Ramadhan Kingai alisema Yeye anafanya hivyo.
Kibatala: Je unafahamu Kwamba Baada ya Uchaguzi, Mtuhumiwa Freeman Mbowe
Si tulikubaliana tuna mashahidi 23 jamani, mfanye kuwaleta wengine hata wawili basi, au ndo mmegundua nn kwani mbona wote wanao ushahidi mzuri jamani ninyi Jamhuri mbona hvyo lkn?Wakili wa Serikali Robert Kidando: Mheshimiwa Jaji Baada ya Shahidi huyu namba 13 Tumefanya Assessment Ya Kesi Yetu Kwa Maana ya Ushahidi Ambao Umetolewa Mpaka Sasa ni Maoni yetu Kwamba tume' Discharge Burden ambayo tunatakiwa Kisheria hivyo tunaialika Mahakama Yako tukufu Chini ya Kifungu cha 41 (1) cha Sheria Ya Uhujumu Uchumi na Makosa ya Rushwa ya 2019
Uone Kwamba Washtakiwa Wote Wanne Wanayo kesi Ya Kujibu, Hivyo taratibu za Sheria zifuatwe ili Shauri hili liweze Kuendelea Katika Hatua zinazifuatia za Kuanza Kujitetea.
Wakili wa Serikali Robert Kidando: Baada ya Kusema Hayo tunaomba Kufunga Kesi Yetu Kwa Upande Wa Jamhuri. Asante Mheshimiwa Jaji
You are rightYou got it,that's what i was talking about.
Walipoona Kamanda wa Anga anachanja mbuga na hoja ya Katiba Mpya ni Sasa wakakurupuka kumkamata.
Wrong timing is affecting them a great deal.They didn't delt with the concequences for not asking themselves as why the script owner did not execute his plan?
Just thinking loudly!
Kibatala: Na katika Maelezo yako Umesema Kwamba Siku Mnamkamata Khalfani Bwire alikuwa anatokea Kazini kwake, Kwa Mbowe
Shahidi: Ndiyo nimeandika...
Kingai jumanne hivi tayari?Di tulikubaliana tuna mashahidi 23 jamani, mfanye kuwaleta wengine hata wawili basi, au ndo mmegundua nn kwani mbona wote wanao ushahidi mzuri jamani ninyi Jamhuri mbona hvyo lkn?
no case to answerTusubiri hukumu ya jaji kama mbowe na wenzie watakutwa na kesi ya kujibu ili waanze kujitetea. Ikawe kheri kwao
John mimi nakataa aisee. Wametukosesha uhondo. Nilikuwa nataka nisikie ushahidi wa Boaz maana ndiye kila kitu kwenye hii kesi. Ila nimejifunza mengi kuhusu sheria na ushahidi.Ni jambo jema!
Zamani sana.....wao ndo walianza kuvuruga hqdi mashahidi wengine 10 wanaonekana non sense na hawatakiwi tena!Kingai jumanne hivi tayari?