Mwanzoni aliyebuni script hakuwa amekamilisha sehemu ya mwisho,akafa mbunifu na waliopewa zabuni kwa kudhani wameielewa script wakakurupuka na kuanzisha start button bila kufanya masahihisho kuziba nyufa na matobo.
Wasivyochukulia mzaha uzembe,ukatili,uonevu na uvunjifu wa HAKI za binadamu mawakili wasomi wanawapiga kata funua za kutosha mashahidi wa michongo na mawakili wao mahakamani!Utapenda kuwa upande wa HAKI.
Tunapodai Katiba mpya ni kwa sababu tunataka USAWA,HAKI,UWAJIBIKAJI na kudumisha/kujali UTU wa kila moja wetu bila UBAGUZI wowote.
HAKI huinua TAIFA.