Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

Hata Jaji kashaona hakuna kesi hapa. Ni vile tu katumwa.

Mbowe ataachiwa huru na wenzake. Hakuna kesi hapa ya kumfunga...
Ilitakiwa kwa mashtaka haya watu wamnyoshee Mbowe kidole cha lawama lakini badala yake wanampungia mkono wa heri.
Lawama zinaenda upande mwingine kama si aibu tuseme ni nini.
 
Ilitakiwa kwa mashtaka haya watu wamnyoshee Mbowe kidole cha lawama lakini badala yake wanampungia mkono wa heri.
Lawama zinaenda upande mwingine kama si aibu tuseme ni nini.
Ndio Maana kipindi chote hicho Mbowe na wenzake ni buheri wa afya.

Mungu ni mwema sana
 
Habari Wakuu,

Leo 15/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 baada ya Ushahidi wake kutokamilika jana
Huyu jamaa anataka mashahidi mchongo wagome kupanda kizimbani kutoa utetezi mchongo sio kwa kuhoji huko
 
Mheshimiwa jaji japokuwa tuna njaa ila nguvu tunayo tupo tayari kuendelea na shauri hili!!!INAUMA SANA ILA PIA INAONESHA NINI MAANA YA KUITWA KAMANDA MKUU
Hii ni nguvu ya ajabu sana. Uwezo wa ku-ignore njaa na mambo mengine yakaendelea.

Ni kanuni ya maisha ya mabilionea na watu wengi wenye mafanikio mema
 
Habari Wakuu,

Leo 15/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 baada ya Ushahidi wake kutokamilika jana...
Tayari kashaomba kwenda kudesa chooni 😂
 
Mbowe ni smart sana kaona mama SSH anaenda kuonana na Mzungu akamtia kizunguzungu. Hili la kutopewa chakula anapoenda kukutana na Beberu wa EU lazima atakutana na hili jambo.
Kunyimana msosi hii ni adhabu ya ki analoge mno. Ni aibu kubwa kwa taasisi zote zilizohusika kukamilisha hili..ni doa kwa taifa letu.
 
Hii ni nguvu ya ajabu sana. Uwezo wa ku-ignore njaa na mambo mengine yakaendelea.

Ni kanuni ya maisha ya mabilionea na watu wengi wenye mafanikio mema
Uko sahihi mkuu.Miaka michache ilopita nikiwa kwenye ajir nilishakua na boss wangu aisee huyo mnaweza mkashindia vikao the whole day na usipolalamika njaa wewe basi utarud home bila kula.Jamaa yy ni kaz tu kula mpaka sijui iwaje na ana hela bala
 
Habari Wakuu,

Leo 15/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 baada ya Ushahidi wake kutokamilika jana....
Alietunga hii kesi anadhalilika sana, anawapa mashahidi wakati mgumu kupita maelezo maana hata hawaelewi namna ya kutetea ushahidi wao
 
Kwahiyo tumekubaliana kwamba hakuna mtu ambaye ameshahukumiwa Kwa kesi hii!
Sasa SSH alitoa wapi hizo taarifa kuwa Kuna wastakiwa wenzake na Mbowe wameshapewa sentence zao?

Kibatala kuwa makini,Naona Leo umemchokonoa mh Rais mara mbili!
 
Rais hana uwezo wa kutofautisha mahabusu na kuhukumiwa. Hajui mambo mengi
 
Sijui ni mimi tu, ila wakianza mawakili wa serikali hata interest ya kuendelea kusoma inapotea kabisa.
Hata mimi nasoma kinyonge sana angalau nije kulinganisha tu. Ila mazungumzo yao hayana mvuto kabisa
 
Kwahiyo tumekubaliana kwamba hakuna mtu ambaye ameshahukumiwa Kwa kesi hii!
Sasa SSH alitoa wapi hizo taarifa kuwa Kuna wastakiwa wenzake na Mbowe wameshapewa sentence zao?

Kibatala kuwa makini,Naona Leo umemchokonoa mh Rais mara mbili!
kumbe mbowe baada ya uchaguzi alikamatwa?
 
Back
Top Bottom