Mzushi huyuMbona hueleweki? Umesema wewe au ndio wewe Judge
Mbona huwa mnaona watu wote wajinga
Imeamuliwa saa ngapi kwani?
Kazi kweli kweli
Kweli unaandika haya ukiwa na free mind?Daaah,Kuna ushahidi gani relevant mpaka wanasitisha kuleta mashahidi 11?Labda na Mimi Niko biased,lakini kila nikijiweka upande wako Bado sioni ushahidi wa maana wa kumtia Mbowe hatiani!Mkuu ninadhani mawakili wa utetezi wameshindwa kutoboa ushahidi wa upande wa mashtaka pamoja na madodoso ya siku tatu kwa shahidi mmoja bila narudia bila kuufunika ushahidi.
Wao walikuwa wanatikisa ila kutikisa siyo kuangusha.
π€£π€£π€£π€£kazi kweli kweliTOKA MAKTABA :
2 December 2021
Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisisasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe
Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho. Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko. Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito. Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.
Source: JamiiForums
4 August 2021
Victoria Nuland : Tanzanian Opposition Leaderβs Arrest Is βTestβ For New President
U.S. Undersecretary of State for Political Affairs Victoria Nuland was in Tanzania Wednesday where she spoke about the arrest of opposition leader Freeman Mbowe and at least 10 other Chadema party members and staff who face terrorism charges.
Source : VOA
4 August 2021
Ambassador Victoria Nuland | UNDER SECRETARY FOR POLITICAL AFFAIRS
Tanzania, Waziri wa Mambo Ya Nje Dr. Liberata Mulamula | amefanya mazungumzo na Bi. Victoria Nuland naibu waziri mambo ya nje anayeshugulikia masuala ya Afrika ambaye pia amefanya kazi Brussels EU pia mshauri wa Bill Clinton, kutatua migogoro ya Ukraine na Russia alifika Tanzania pia kukutana na viongozi wa vyama vya upinzania Tanzania . Rais Joe Biden sasa amempa imani yake na kumtuma kutatua migogoro na migongano ...
Umewaza kwa nini Jaji kakataa ombi la Kibatala la wakilisho la HANA KESI YA KUJIBU?Kweli unaandika haya ukiwa na free mind?Daaah,Kuna ushahidi gani relevant mpaka wanasitisha kuleta mashahidi 11?Labda na Mimi Niko biased,lakini kila nikijiweka upande wako Bado sioni ushahidi wa maana wa kumtia Mbowe hatiani!
Thubutu,hakuna gazeti litakaloandika hivyo,wataremba remba headline hutaamini,pumbavu zaoKesho tarehe 16 February 2022 Vichwa vya Habari Kurasa Za Mbele za Mitandao na Magazeti Yote:
JAMHURI YABWAGA MANYANGA (KUENDELEA) KUTOA USHAHIDI ...endelea kusoma kwa kina kurasa za ndani juu ya yaliyojiri ktk kesi namba 16/2021 inayomkabili Freeman Mbowe na wenzie watatu ......
Urio nae alipiga oenati ya ushindiKingai alikuwa na msemo wake wa kukutwa na kete za madawa kulevya kwa washitakiwa huu. Msemo haupo tena. Hawa akina Kingai wameshiriki kufanya ujinga sana wa kubambikia watu kesi. Jeshi linaweza kuwa na watu kama akina Kingai, Swila, Goodluck na Jumanne. Hii kesi ilimalizwa na Ndowo na Goodluck leo Swila kaja kumzodoa SSH.
Mkuu kwa hiyo na wewe uko upande wa watesi? Mie nadhani haki ijadiliwe na watu wote. Hata kama upo CCM na kichwani ubongo hakuna, basi jaribu kumhurumia binadamu mwenzako.Mlisema
- hatakamatwa
- hatafikishwa mahakamani
- 14/12 Nolle prosequi italetwa na DPP
- Shahidi wa 13 amekimbia
- Tutamlisha Mbowe milo yote kama MFALME
- MAWAKILI WAPO NA HAWAHITAJI MALIPO
- nk nk
NANI AWAAMINI? TUSUBIRI
Na impendeze Mungu hivyo.Ni mashahidi 13 tu kati ya 23 wa Jamhuri wameweza kuja kutoa ushahidi...
Mashahidi 10 wamekataa na kusema isiwe taabu kwenda kupoteza muda na kuabishwa kizimbani kwa mambo ya uongo na kutunga...
Tarehe 18/2/2022 ni siku ya ijumaa tu. Hii siku muhimu sana...
Wapenda HAKI wote na mlioko DSM na mnaoweza kufika mahakamani, fikeni mahakamani kwa wingi kwa ajili kumpokea M/Kiti CHADEMA - Taifa na wale vijana masikini watatu toka katika safari ndefu ya miezi takribani 5 au 6 ya kuishi kifungoni gerezani kwa mateso ya watesi wake CCM na serikali yao...
Hata kipofu ameona. Hata watoto wameona kuwa, alichofanyiwa Freeman Mbowe ni unyama na uhuni usiostahili kuvumiliwa hata kidogo...
Huwezi kumfanyia binadamu mwenzio ukatili na uhuni wa namna hiyo kwa sababu ya madaraka ya kisiasa tu....
HUU NDIYO UTAKUWA UAMUZI WA MAHAKAMA BILA HATA YA SHAKA YOYOTE:
JAJI: Baada ya kusikiliza ushahidi wa waleta mashitaka [Jamhuri] na kwa kuzingatia maelezo marefu niliyokwisha kuyasoma, mahakama hii imejiridhisha pasipo shaka yoyote kuwa, ushahidi uliowasilishwa na upande wa Jamhuri una matobo mengi na umejaa mashaka matupu...
Kwa mujibu wa CPA kifungu cha.... mabano....., ili kumtia hatiani mshitakiwa yeyote ni lazima anayeshitaki athibitishe kosa/makosa ya mshitakiwa kwa ushahidi ulionyooka na usioacha hata chembe ya shaka...
Kwa sababu hii, natamka kuwa washitakiwa wote wanne HAWANA KESI YA KUJIBU na mahakama hii kuanzia sasa inawaachia huru. NATOA AMRI....!!
Kwahiyo kwa waliositisha ushahidi ndio washindi?Mkuu ninadhani mawakili wa utetezi wameshindwa kutoboa ushahidi wa upande wa mashtaka pamoja na madodoso ya siku tatu kwa shahidi mmoja bila narudia bila kuufunika ushahidi.
Wao walikuwa wanatikisa ila kutikisa siyo kuangusha.
Zuzu ni zuzu...DCI mstaafu Boaz kaamua kesi iishe ataonekana zuzu
Wapi amesema hivyo lete hiyo hoja yake hapa tuone.Umewaza kwa nini Jaji kakataa ombi la Kibatala la wakilisho la HANA KESI YA KUJIBU?