Yaliyojiri katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake tarehe21/01/2021. Kesi imeahirishwa hadi 24/ 01/ 2022

Asilimia 95 polisi wanamaliza muda wao na mateso makali sana na magonjwa ya hovyo. Kuna mmoja namjua sasa hivi anachunika ngozi tu.
We acha tu. Nilikuwa najiuliza hawa watu wa vitengo hivi Maalum kwa nini wanakufa vibaya? Jpm amenipa Funzo.
 
Shahidi: Wee! Hapana nilimkabidhi zote.

Mahakama: Hahahaaaa

Shahidi anaona kama anageuziwa kesi kutokana na ushahidi wa wenzake wa uongo wa awali.
 
Mkuu tunashukuru kwa kutujuza hayo yote, ila mjitahidi kutochelewesha updates leo Ijumaa tunawahi ibaada, hata ukiweka vufupi vifupi sio mbaya kuliko kusubilia masaa ma tatu au manne.
Hii hadithi inastarehesha. Endeleeni kutujuza.
 
Hata mimi nasubiri maana bado ushahidi hakuna
Nadhani ungekuwepo kitambo Sana wangeshamfunga.
Ukiona kesi yoyote inachumkua mda kuisha jua ni ya kubambika.
Wangekuwa na ushahidi kitambo Sana wangeshamfunga hadi sasa wanaruka ruka tu.
 
Nadhani ungekuwepo kitambo Sana wangeshamfunga.
Ukiona kesi yoyote inachumkua mda kuisha jua ni ya kubambika.
Wangekuwa na ushahidi kitambo Sana wangeshamfunga hadi sasa wanaruka ruka tu.
Kama Sabaya kesi ilichukua mwezi mmoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…