Yaliyojiri katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake tarehe21/01/2021. Kesi imeahirishwa hadi 24/ 01/ 2022

Yaliyojiri katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake tarehe21/01/2021. Kesi imeahirishwa hadi 24/ 01/ 2022

Leo kizimbani tunaye Goodluck kutoka kitengo maalumu cha crucifixion
Ila nyie Mungu ni wa ajabu, hivi ni lini tungekuja jua kuna mtu anaitwa Jumanne, Goodluck, Mahita etc ambao wote ni suspicious wa utekeaji na utesaji? Haya ni matokeo ya dhambi za dhuruma nyingi, utesi mwingi, uonevu mwingi na kila aina ya dhuruma ambayo imefika kuwa chukizo kwa Mungu na hatimaye kuwaanika wazi sehemu ambayo haina kificho, Kwa hakika huu ni mpango wa Mungu.
yajayo yanafurahisha wapo tunaishi nao mtaani, wao tunakunywa nao, wao tunasafiri nao, wao tunashiriki nao katika mambo mengi ya kijumuiya, wao watajificha wapi tena? makusudi ya Mungu inayo maana kuu kwa kila jambo!!!
 
Yaani hii tamithilia ni sawa na isidingo. Maana wana ridia story za long time. Kupoteza muda tuu hapa. Maana kama hana jipya kwanini ahojiwe?
Mi mwenyewe nimeshangaa. Mawakili wa Jamhuri sijui wameona kakosea wapi aje kurekebisha. Ramadhani Kingai naye watamrejesha maana aliboronga ile mbaya wakati yeye ndie alijuwa Boss wa ukamataji
 
Naona kila mtu anakuja na mbinu mpya huyu wa leo anasema kula njama ya kushiriki vitendo vya kigaidi. Ila Kingai alitengeneza hii kesi kizembe sana tena sana.
Kula njama wakati Shahidi Innocent Mdowo kasema hajaona ktk extract zake maongezi au mawasiliano yanayoashiria vitendo vya uharifu na kama angeona yeye kama Afisa polisi angeripoti hata kama haiko kwenye terms of reference
 
Je kuna nini kitatokea kama anga itabadilika.
 
Ila nyie Mungu ni wa ajabu, hivi ni lini tungekuja jua kuna mtu anaitwa Jumanne, Goodluck, Mahita etc ambao wote ni suspicious wa utekeaji na utesaji? Haya ni matokeo ya dhambi za dhuruma nyingi, utesi mwingi, uonevu mwingi na kila aina ya dhuruma ambayo imefika kuwa chukizo kwa Mungu na hatimaye kuwaanika wazi sehemu ambayo haina kificho, Kwa hakika huu ni mpango wa Mungu.
yajayo yanafurahisha wapo tunaishi nao mtaani, wao tunakunywa nao, wao tunasafiri nao, wao tunashiriki nao katika mambo mengi ya kijumuiya, wao watajificha wapi tena? makusudi ya Mungu inayo maana kuu kwa kila jambo!!!
Kwenye kesi hii Vyombo vya polisi walishiriki

1. Jumamne Malanghe
2. DC Azizi
3. Goodluck Minja
4. Ramadhani Kingai
5. Mahita omar Mahita
6. Francis
7. Lt Urio
Na mashahidi kutika Tigo, airtel, forenscic beaural
 
Hii kesi inaonesha mashahidi hawakupangwa na polisi kulingana na mtiririko wa ushahidi, tulianza kwenye ukamataji na kuchukua maelezo, tukafika kwenye uchunguzi wa kisayansi ambao kwa hali halisi ndio uchunguzi wa kiwango cha juu kabisa kuaminika, cha ajabu baada ya shahidi wa 10 shahidi wa 11 anaturudisha mwanzo wa kesi, ukamataji na ushahidi wa kufikirika!

Mashahidi 21 wako kwenye kundi la kwaya maneno yaleyale huku wasiozidi watatu Tigo, Airtel na maabara ya uchunguzi wa kisayansi wakiwa kwenye korasi!
Hapa bado dereva anayeitwa Pc Aziz, na Pc Francis, bado SSgt Nuru mtunza vielelezo central Dar, bado askari wa CRO Mbweni, bado Anitha wa RAU madukani.
 
Hapa bado dereva anayeitwa Pc Aziz, na Pc Francis, bado SSgt Nuru mtunza vielelezo central Dar, bado askari wa CRO Mbweni, bado Anitha wa RAU madukani.
Anita tayari alishakuja kutoa ushahidi wake
 
Nashon: Unauthibitisho wa risiti ya Hotel?

Shahidi: Sijaleta

Nashon: Hukuona Umuhimu Kuleta risiti

Shahidi: Nilikuwa na viongozi wangu

Nashon: jibu swali unaloulizwa

Shahidi: sikuona umuhimu
kumbe ukiwa na viongozi wako hutakiwi kuwa na receipt? Polisi wa nchi hii ama kweli ni kama Simbachawene alivyojinasibu khs shule yao!!!
 
Hapa bado dereva anayeitwa Pc Aziz, na Pc Francis, bado SSgt Nuru mtunza vielelezo central Dar, bado askari wa CRO Mbweni, bado Anitha wa RAU madukani.
Hii kesi mmeishikia kidedea kama na nyie ni mawakili🤣
 
Nashon: Kwa hiyo Ulienda Kunawa Uso Ukiwa na Vielelezo?

Shahidi: Ndiyo

Nashon: na Muda wa Kuna wa Uso Ulikuwa Lisaa Limoja

Shahidi: Ndiyo
Uso upi tena unanawa lisaa limoja jamani, usikute aliosha uso wa dunia huyu Goodluck jamani!
 
Back
Top Bottom