Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Naona kila mtu anakuja na mbinu mpya huyu wa leo anasema kula njama ya kushiriki vitendo vya kigaidi. Ila Kingai alitengeneza hii kesi kizembe sana tena sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila nyie Mungu ni wa ajabu, hivi ni lini tungekuja jua kuna mtu anaitwa Jumanne, Goodluck, Mahita etc ambao wote ni suspicious wa utekeaji na utesaji? Haya ni matokeo ya dhambi za dhuruma nyingi, utesi mwingi, uonevu mwingi na kila aina ya dhuruma ambayo imefika kuwa chukizo kwa Mungu na hatimaye kuwaanika wazi sehemu ambayo haina kificho, Kwa hakika huu ni mpango wa Mungu.Leo kizimbani tunaye Goodluck kutoka kitengo maalumu cha crucifixion
Mi mwenyewe nimeshangaa. Mawakili wa Jamhuri sijui wameona kakosea wapi aje kurekebisha. Ramadhani Kingai naye watamrejesha maana aliboronga ile mbaya wakati yeye ndie alijuwa Boss wa ukamatajiYaani hii tamithilia ni sawa na isidingo. Maana wana ridia story za long time. Kupoteza muda tuu hapa. Maana kama hana jipya kwanini ahojiwe?
Kula njama wakati Shahidi Innocent Mdowo kasema hajaona ktk extract zake maongezi au mawasiliano yanayoashiria vitendo vya uharifu na kama angeona yeye kama Afisa polisi angeripoti hata kama haiko kwenye terms of referenceNaona kila mtu anakuja na mbinu mpya huyu wa leo anasema kula njama ya kushiriki vitendo vya kigaidi. Ila Kingai alitengeneza hii kesi kizembe sana tena sana.
Itawacost kuthibitisha hiliHii itakuwa hoja mpya ya kula njama kushiriki vitendo vya kigaidi.
Hapa hakuna kesi yule jamaa wa kupekua na kuingilia mahusiano alishaimaliza hii kesi juzi haya mengine ni mazungumzo baada ya habari.Hii itakuwa hoja mpya ya kula njama kushiriki vitendo vya kigaidi.
Je kuna nini kitatokea kama anga itabadilika.Kula njama wakati Shahidi Innocent Mdowo kasema hajaona ktk extract zake maongezi au mawasiliano yanayoashiria vitendo vya uharifu na kama angeona yeye kama Afisa polisi angeripoti hata kama haiko kwenye terms of reference
Kwenye kesi hii Vyombo vya polisi walishirikiIla nyie Mungu ni wa ajabu, hivi ni lini tungekuja jua kuna mtu anaitwa Jumanne, Goodluck, Mahita etc ambao wote ni suspicious wa utekeaji na utesaji? Haya ni matokeo ya dhambi za dhuruma nyingi, utesi mwingi, uonevu mwingi na kila aina ya dhuruma ambayo imefika kuwa chukizo kwa Mungu na hatimaye kuwaanika wazi sehemu ambayo haina kificho, Kwa hakika huu ni mpango wa Mungu.
yajayo yanafurahisha wapo tunaishi nao mtaani, wao tunakunywa nao, wao tunasafiri nao, wao tunashiriki nao katika mambo mengi ya kijumuiya, wao watajificha wapi tena? makusudi ya Mungu inayo maana kuu kwa kila jambo!!!
Innocent Mdowo kamaliza Utata wote.Hapa hakuna kesi yule jamaa wa kupekua na kuingilia mahusiano alishaimaliza hii kesi juzi haya mengine ni mazungumzo baada ya habari.
Kitakachotokea chochote ni Ubatili mtupuJe kuna nini kitatokea kama anga itabadilika.
Hata mimi nashangaa. Nilikuwa najua ni watu smartKumbe wachagga ni watu wa ajabu hivi!!!
Mbowe kafungulia kesi ya nini? Na kwanini yupo divisheni ya uhujumu uchumi. Ina maana hapo kuna kesi mbili ama.Kitakachotokea chochote ni Ubatili mtupu
Hapa bado dereva anayeitwa Pc Aziz, na Pc Francis, bado SSgt Nuru mtunza vielelezo central Dar, bado askari wa CRO Mbweni, bado Anitha wa RAU madukani.Hii kesi inaonesha mashahidi hawakupangwa na polisi kulingana na mtiririko wa ushahidi, tulianza kwenye ukamataji na kuchukua maelezo, tukafika kwenye uchunguzi wa kisayansi ambao kwa hali halisi ndio uchunguzi wa kiwango cha juu kabisa kuaminika, cha ajabu baada ya shahidi wa 10 shahidi wa 11 anaturudisha mwanzo wa kesi, ukamataji na ushahidi wa kufikirika!
Mashahidi 21 wako kwenye kundi la kwaya maneno yaleyale huku wasiozidi watatu Tigo, Airtel na maabara ya uchunguzi wa kisayansi wakiwa kwenye korasi!
Anita tayari alishakuja kutoa ushahidi wakeHapa bado dereva anayeitwa Pc Aziz, na Pc Francis, bado SSgt Nuru mtunza vielelezo central Dar, bado askari wa CRO Mbweni, bado Anitha wa RAU madukani.
kumbe ukiwa na viongozi wako hutakiwi kuwa na receipt? Polisi wa nchi hii ama kweli ni kama Simbachawene alivyojinasibu khs shule yao!!!Nashon: Unauthibitisho wa risiti ya Hotel?
Shahidi: Sijaleta
Nashon: Hukuona Umuhimu Kuleta risiti
Shahidi: Nilikuwa na viongozi wangu
Nashon: jibu swali unaloulizwa
Shahidi: sikuona umuhimu
hapo kwa akili yake ndo imefikia Climax.... end of thinking capacity mkuu acha kumlaumu bure!!!!Ila Kingai alitengeneza hii kesi kizembe sana tena sana.
Kiukweli kuna umuhimu wa kuibadilisha mitaala ya polisi wetu. Watoke kwenye mitaala tuliyorithi kwa Wakoloni ya kutumia nguvu nyingi kuliko akili.kumbe ukiwa na viongozi wako hutakiwi kuwa na receipt? Polisi wa nchi hii ama kweli ni kama Simbachawene alivyojinasibu khs shule yao!!!
Hii kesi mmeishikia kidedea kama na nyie ni mawakili🤣Hapa bado dereva anayeitwa Pc Aziz, na Pc Francis, bado SSgt Nuru mtunza vielelezo central Dar, bado askari wa CRO Mbweni, bado Anitha wa RAU madukani.
maisha ya watu kama hawa mara nyingi huwa ni mafupi, yasiyo na amani na mafanikio huwa ni ndoto - fuatilia.Mwanangu Goodluck, umejiingiza kwenye Ulozi ungali kijana mdogo sana, Mungu akusaidie uwahi kutubu dhambi zako mapema!!!
Uso upi tena unanawa lisaa limoja jamani, usikute aliosha uso wa dunia huyu Goodluck jamani!Nashon: Kwa hiyo Ulienda Kunawa Uso Ukiwa na Vielelezo?
Shahidi: Ndiyo
Nashon: na Muda wa Kuna wa Uso Ulikuwa Lisaa Limoja
Shahidi: Ndiyo