JAMANI YOTE 9 HAPO WATU WA MAANA NI
(1) DR MAGUFULI
(2) AMINA SALUM
ukawa wajipange wakipita hao wawili,huyo AMINA jamani yuko vizuri tena haswa so msidharau kama humjui au hujui and mjue kua yupo kwenye serikali since 1968 na kina Anne Makinda na anafahamika Africa na dunia nzima as ni yeye alikuwa anaiwakilisha Africa nzima UN kama mwenyekiti wa wanawake viongozi Africa. Msishangae sana anaweza chukua nchi huyo mama. KUMBUKA ALIKATWA MWAKA 1995/2000 WAKATI ANATAKA KUGOMBEA URAISI MWAKA HUO,SO YUKO VIZURI AMINA