Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kama kweli wamemkata huyu jamaa ina maana watatumia nguvu nyingi sana kushinda tujiandae kupigwa maana walishasema tupigwe na tutapigwa sana,maana walishachoka eeh
 
Ishu ni kwamba unaangalia nchimbi sophia hawa wote ni timu moja hivyo hakuna ishu ya kuumiza kichwa
 
Hakuna anaejua ukweli tusubiri. Tuone lkn Kama Mr. Lowasa hayupo hakuna la ajabu
 
Khaaah!!!!Mamvi wamekata!!!Wamemkatakataje???
UKAWA IKULU YETU ILEEEE....
 
JAMANI YOTE 9 HAPO WATU WA MAANA NI
(1) DR MAGUFULI
(2) AMINA SALUM

ukawa wajipange wakipita hao wawili,huyo AMINA jamani yuko vizuri tena haswa so msidharau kama humjui au hujui and mjue kua yupo kwenye serikali since 1968 na kina Anne Makinda na anafahamika Africa na dunia nzima as ni yeye alikuwa anaiwakilisha Africa nzima UN kama mwenyekiti wa wanawake viongozi Africa. Msishangae sana anaweza chukua nchi huyo mama. KUMBUKA ALIKATWA MWAKA 1995/2000 WAKATI ANATAKA KUGOMBEA URAISI MWAKA HUO,SO YUKO VIZURI AMINA
 
Kama kweli ndo hayo majina yamepita kwa kweli asante sana Jk kwa kukiangusha chama chetu pendwa teeeeeehe teeehe

Naomba uzima na afya oktoba nishuhudie chama kinavyozama kama titanic huku ikiwezekana yakatokea kama yale ya Zanzibar

50 years of kijani is over
 
Inaonekana Membe atapita kutokana labda na shinikizo la mataifa makubwa
 
Back
Top Bottom