Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Akikatwa nijuzeni nichinje kakuku kangu maana nakumbuka mwaka 2008
Kama kweli ndo hayo majina yamepita kwa kweli asante sana Jk kwa kukiangusha chama chetu pendwa teeeeeehe teeehe
Naomba uzima na afya oktoba nishuhudie chama kinavyozama kama titanic huku ikiwezekana yakatokea kama yale ya Zanzibar
50 years of kijani is over
membe makamba migiro mangufuli Amina
Wakuu Mungu amesikia maombi yetu, UKAWA hiyooooo namuona Dr Silaa akipanga baraza la mawaziri Waziri Mkuu Mbatia, mwanasheria mkuu Tundu Lisu, Waziri wa ardhi Harima Mdee waziri mambo ya ndani Godbless Lema na....
Tunaingia msituni
nami nasema piga ua urais ni nyanda za juu kusini.
Utake usitake.
Habari kamili leo saa4!!!!
Kwenye Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu ni kura za wajumbe zinazoamua.
Hivyo nafasi kubwa anayo Dk Magufuli kwani anategemewa kupata kura nyingi za Team Lowassa na wengi wasiotaka mambo ya usultani.
Halafu hivi Membe hakuenguliwa kwa kuanza kampeni mapema, kuwa na makundi na matumizi ya fedha?
... Nasikia Mkapa na Mwinyi wametishia kurudisha kadi za CCM na ndipo wakarufisha jina la LOWASA
Kama ni kweli, hii ni kuonyesha ni jinsi gani CCM imekomaa kisiasa na si kubabaisha. Na kwa sababu hiyo basi Nitaipigia KURA CCM
UKAWA nyie mlikuwa mnamuogopa Lowassa tu.UKAWA tunajipanganye,hakuna mtu mwenye ubavu pale