Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

... Nasikia Mkapa na Mwinyi wametishia kurudisha kadi za CCM na ndipo wakarufisha jina la LOWASA
 
Kama kweli ndo hayo majina yamepita kwa kweli asante sana Jk kwa kukiangusha chama chetu pendwa teeeeeehe teeehe

Naomba uzima na afya oktoba nishuhudie chama kinavyozama kama titanic huku ikiwezekana yakatokea kama yale ya Zanzibar

50 years of kijani is over

Mkuu ni mapema mno kujitangazia ushindi na kujiamini. Hatuwezi kujua wanajiandaa vipi kuchakachua na hiyo oktoba, maana wao ndio wenye kila kitu.
 
Kwenye Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu ni kura za wajumbe zinazoamua.

Hivyo nafasi kubwa anayo Dk Magufuli kwani anategemewa kupata kura nyingi za Team Lowassa na wengi wasiotaka mambo ya usultani.

Halafu hivi Membe hakuenguliwa kwa kuanza kampeni mapema, kuwa na makundi na matumizi ya fedha?
 
Wakuu Mungu amesikia maombi yetu, UKAWA hiyooooo namuona Dr Silaa akipanga baraza la mawaziri Waziri Mkuu Mbatia, mwanasheria mkuu Tundu Lisu, Waziri wa ardhi Harima Mdee waziri mambo ya ndani Godbless Lema na....

maneno yako Pasco asiyapate
 
Last edited by a moderator:
Lazima wawaogope watu wenye misimamo yao,watu wasiopenda kuburuzwa, watu wanaojua kudai haki zao, wanaojitmbua, wanaojua nini maana ya uongozi na si watu Wa ndio kwa kila jambo
 
Kwenye Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu ni kura za wajumbe zinazoamua.

Hivyo nafasi kubwa anayo Dk Magufuli kwani anategemewa kupata kura nyingi za Team Lowassa na wengi wasiotaka mambo ya usultani.

Halafu hivi Membe hakuenguliwa kwa kuanza kampeni mapema, kuwa na makundi na matumizi ya fedha?

Wanaweza wakachakachua hata huko.
 
Kama ni kweli, hii ni kuonyesha ni jinsi gani CCM imekomaa kisiasa na si kubabaisha. Na kwa sababu hiyo basi Nitaipigia KURA CCM

Kamanda mimi nimefurahi zaidi ya saaaana! Rais gani anahonga hadi wadhamini alafu anatuahidi kukomesha rushwa!? Marafiki zake ni Chenge , Tibaijuka, Rostam na........!!! Tafakaruni watanzania!
 
Back
Top Bottom