Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

zile pesa alizotoa zilkua za kutaftia wadhamin....xaxa anatoa za kuiua ccm..sio mabas tu mpaka fast jet tutapanda..
Maomb yang kwa Mungu CCM ife kabsa.
 
Acha ubaguzi wewe ukanda unakujaje hapa? Tanzania sio Kenya au Burundi
 
Tunamshukuru Kikwete kwa mpango wake wa kukabidhi ikulu kwa ukawa.
 
Mkuu ni mapema mno kujitangazia ushindi na kujiamini.

Mkuu baba Riz kashawapeleka pabaya sijaona mtu wa kusababisha ccm ishinde

Hatuwezi kujua wanajiandaa vipi kuchakachua na hiyo oktoba,

Kama na BVR watapiga na waliokufa sawa ... Ila hawana pa kutokea hawa

maana wao ndio wenye kila kitu.

Hapa hata watumie kauli ya wapigwe tu CCM lazima ife tu
 

2. UPDATE 01:20

Hatimaye 5 Bora imejulikana, ni:

1) Bernard Membe 2) John Magufuli 3) Asha Rose Migiro 4) January Makamba 5) Amina S. Ali

View attachment 267181

Mgombea wa CCM ni Mhe. John Pombe Magufuli. Safari ya Membe itaishia NEC ili kulipia gharama za lip services za watu wa Lowassa. Dr. Asha Rose atapewa u PM, Amina Mgombea Mwenza, January atapewa MFA!.

Pasco
 
hata mamisukure yoke pia nimaloser. tuna subiri .maamuzi magumu yakuhama nchi.
 
Wajameni hebu nambieni vizuri. Ni kweli ma-MVI amekatwa, na wengine ni wepi?
tujuzane wadau ili niende bar sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…