KIBARAone
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 642
- 243
Kaangalie official twitter account ya JK, safari ya kurudi kuchunga mbuzi ianze
Hana jipya huyo. Aende tu akachunge mbuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaangalie official twitter account ya JK, safari ya kurudi kuchunga mbuzi ianze
vyombo vingi vya habari wametangaza.na nchimbi pamoja na sofia simba wameshapinga maamuzi
Acha ubaguzi wewe ukanda unakujaje hapa? Tanzania sio Kenya au BurundiKumekuwa na ubaguzi wa hali ya juu sana ndani ya cm kuhusu watu wanaotoka kanda ya kaskazini na kihistoria watu wanaotoka kanda ta kaskazini wanapopewa nafasi za juu huwa wana deliver sana.
Mfano, sokoine, msuya nk
napenda niseme mwaka huu ni mwaka wa kaskazi piga ua galagaraza ni kaskazini dr.slaa,makamba,lowassa
waliopitishwa ni kina nani mkuu
Hebu mdau mmoja makini atupe hata CV za hao jamaa 5..
Ndo maana hajuwi kama umefurahi sana!
Na kwa kuwa umefurahi kama mimi, basi utakuwa umefurahi sana.
ndio unagundua hivi sasa kuwa ccm haina maana??
Usifanye kosa mwaka huu
membe makamba migiro mangufuli Amina
Mkuu ni mapema mno kujitangazia ushindi na kujiamini.
Hatuwezi kujua wanajiandaa vipi kuchakachua na hiyo oktoba,
maana wao ndio wenye kila kitu.
Mgombea wa CCM ni Mhe. John Pombe Magufuli. Safari ya Membe itaishia NEC ili kulipia gharama za lip services za watu wa Lowassa. Dr. Asha Rose atapewa u PM, Amina Mgombea Mwenza, January atapewa MFA!.
2. UPDATE 01:20
Hatimaye 5 Bora imejulikana, ni:
1) Bernard Membe 2) John Magufuli 3) Asha Rose Migiro 4) January Makamba 5) Amina S. Ali
View attachment 267181
Hahahaaaaa,hao top 5 mbona wepesi mno!