Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu The Boss, politics sio static, ni very dynamics na zinachange with time!, katika uchambuzi wangu wote, sikuwahi hata mara moja moja kulifikiria jina la Amina!. Kati ya watano hao, sikutegemea CCM ituletee Waislamu watatu wakati wanaelewa fika safari hii ni zamu ya Wakristo, sikutegemea CCM ituletee wanawake wawili wakati wagombea wanawake wameingizwa tuu ili kuzugia kwa ajili ya kuvunia kura za wanawake. Mpaka hapa bado tunamzungumzia mgombea wa CCM, "jamaa yangu" bado ndie rais wetu 2015 ila kupitia nje ya CCM!.
Pasco
Kamanda hiyo ndiyo safu ya rais na waziri mkuu wa Tanzania.system imemuandaa Membe kuwa Rais kwa muda wa miaka 10......Amekuwa exposed kwenye maeneo yote muhimu ya nchi hii
Kwa Tanzania CCM kushinda ni Pie....kwa sababu kila kitu ni cha kwao...hakuna namna ya kusema eti wanakubali kushindwa
Whether kutakuwa na mpasuko au la...The next president is Membe...Usalama wa Taifa wamemuandaa muda mrefu
Prime Minister ni Magufuli
Ni rahisi sana kuitawala Tanzania kwa nature ya Watanzania tulivyo Mazezeta
Hivi Mwinyi na Mkapa wameshindwa kumshauri JK kwa kusoma upepo? Ni dhahiri chama kinaweza kumfia mikononi.
Kwa msisitizo, rais bado ni Lowassa ila kupitia nje ya CCM, infact nashauri ndie awe mgombea wa UKAWA!.Nawashauri wana JF Msimuamini mtu anaitwa Pasco ni mwongo,mbahatishaji asiyeaminika na anayejifanya kuwa anajua sana
Ni mtu wa kuogopwa sana kama UKOMA
Anajaribu kunitisha, kweli asiyekujuwa ni usiku wa kiza! Mtu wenyewe sipigiwi nnacheza jee nikipigiwa?
Hapo sasa!
Mbona wewe unapenda sana kumchambua raisi wako mtarajiwa Dr.Slaa au yule yupo ccm? mmeshanganyikiwaUKAWA naona bado mnaendelea kuwachambua wagombea wa CCM mtachagua wenyewe nani mnaweza kupambana naye.
Wakuu Mungu amesikia maombi yetu, UKAWA hiyooooo namuona Dr Silaa akipanga baraza la mawaziri Waziri Mkuu Mbatia, mwanasheria mkuu Tundu Lisu, Waziri wa ardhi Harima Mdee waziri mambo ya ndani Godbless Lema na....
Kwa msisitizo, rais bado ni Lowassa ila kupitia nje ya CCM, infact nashauri ndie awe mgombea wa UKAWA!.
Pasco
Hujafurahi kama mimi aisee