Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais


mkuu ungeachana kwanza na kutuwekea hayo mavideo yako,, nani ana muda wa kuyaangalia sasa hivi?
 
Kweli Lowassa kajifunganyia nguvu kubwa sana kumzunguka. Yani kila mtu anazungumzia sio waliopitishwa, bali ALIEKATWA!! Sasa siasa haina majibu kamili. Kwa nguvu aliyoikusanya, ningelikua ENL ningelitoa hotuba kukubali kushindwa na ningelisihi wafuasi wangu wote waunge mkono atakaeteuliwa.

Hiyo ndio namna bora zaidi ya kukinusuru chama kikongwe (GOP) cha Tanzania. Vinginevyo mpasuko mkuu wa GOP unanukia ukiambatana na harufu ya damu ndani yake. Kwa mpango huo huo wa siasa kutotabirika, basi GOP kwishney na ENL pia kwishney.

ENL ana hasara zaidi hapo. Aepuke hiyo 'tukose wote' situation!! Maslahi yake akiwa ndani ya GOP na kusapoti aliepitishwa yatamea zaidi. Tofauti na hapo, kila mtu anaeza tabiri kinachokuja kutokea mpaka kufikia Oktoba.

Kuna jambo jingine. GOP ilivyo, kwa sasa ENL hana la kufanya. Hadi wamejasirika kumkata, then ameshasetiwa kila aina ya mtego kutokufurukuta. Akamuulize 6 kilichomfanya aanzishe chama na akashindwa kujiunga nacho ingawa ananyanyasika alipo!!
 
Safari ya Matumaini
Safari ya Matumai
Safari ya Matuma
Safari ya Matum
Safari ya Matu
Safari ya Mat
Safari ya Ma
Safari ya Monduli
😂😂😂😂😂😂
 
Mzee was chozi na mamvi wamekatwa, kweli zidumu fikra za mwl.
 
Wakuu hapa Dodoma ni kama kumepita ugonjwa wa mnyoofu sababu hali si muhali hata kidogo!

Watu wamenyong'onyea sana and keep my word CCM inaenda kupitia kipindi kigumu sana.
 

No comment....Siasa za Uchaguzi za Vyama zote zikianza tutajua
 
Kuna haja ya kutafuta pop corn hapa mana movie bado inaendelea kwa waliokatwa
AMESHAKATWA
 
Membe ni jembeeeeeeeeeeeeee, Magufuli ni Mkurupukaji.

kwa lipi alilotufanyia sisi masikini wa vijijini?
magufuli kila kona ya nchi hii unakutana nae,sijui utatwambia nini kajipange upya
 
Hivi si walisema wale ni #boyztoMen hawaachani au kundi limekufa 🏃🏃🏃💇💇
 

Umeongea point kuhusu Muhongo.Membe hata km ni Diplomat, bado nadhani magufuri anaweza bora zaidi.
 
Ng'wamapalala Makongoro alikuwepo pale kwa lengo maalum

Na kazi yake ameifanya vizuri

Ila inajulikana makongoro hangeweza kupewa kwa sababu tu ya Yeye kuwahi kuwa Mpinzani
 
Last edited by a moderator:
 

Lowassa hakatwi nasema. Tunaanzisha vita tuuane.
 
MAGUFLI ndo mkombozi wa ccm mwaka huu,kila sehemu anajulikana kwa kazi alizozifanya ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…