mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,581
- 462
Hivi si walisema wale ni #boyztoMen hawaachani au kundi limekufa 
Hivi si walisema wale ni #boyztoMen hawaachani au kundi limekufa 🏃🏃🏃💇💇
Kwa msisitizo, rais bado ni Lowassa ila kupitia nje ya CCM, infact nashauri ndie awe mgombea wa UKAWA!.
Pasco
Watoke wqpi hao wa busara labda wawagawie vitalu vya gesi kila mmoja na chake ili haki itendeke.
ukwel makufuli anafaa,ila ikumbukwe jamaa ni mtendaji na sio kiongozi,nchi inafaa kuongozwa na kiongozi,nimemuona mara kibao kwenye vikao vyetu vya TANROAD,huku mtu anapaswa kupewa uwaziri mkuu ili awe mtendaji mzuri wa kusimamia wizara nyingi,awe na ushawishi wa kumshauri atakayemteua...Membe hapana kabisa hana hadhi ya kua kiongozi.
Lowassa hakatwi nasema. Tunaanzisha vita tuuane.
.... Taarifa zinazosambazwa juu ya majina yaliyopenyeza 5 bora siyo rasmi.
Taarifa rasimi itatolewa leo asubuhi majira ya saa nne.
Binafsi nina imani makongoro ndani
Mkuu,mkuu ungeachana kwanza na kutuwekea hayo mavideo yako,, nani ana muda wa kuyaangalia sasa hivi?
Magufuru huyu aliye sema wananchi wapigembizi kuvuka kigamboni kama hawata toa miambilimiambili au mwingine duh!
Lowassa anagombea kupitia ccm.
Kingunge -Lowasa akikatwa patachimbika
cc.msalani njooni Ukawa
Nape anaongea Star Tv anasema majina ndio hayo ambao hawajaridhika eti wakate rufaa