Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Tujadiliane kwa lugha nzuri kuniita mimi chizi usijione hizo lugha unazijua peke yako na mimi nikirudisha kwa lugha hiyo tutachafua jukwaa.

mwache bhana, we mtu mzima mkongwe jukwaani
 
Kwa mara ya kwanza ccm wafanya maamuzi mazito ka yale ya chadema kwa Zitto.
 
Tujadiliane kwa lugha nzuri kuniita mimi chizi usijione hizo lugha unazijua peke yako na mimi nikirudisha kwa lugha hiyo tutachafua jukwaa.

Achana nae huyu Mkuu Ritz,wengine sijui kwa nini huwa wanakuja JF wakati ile principal ya kukubaliana kutokubaliana hawaijui.
 
Last edited by a moderator:
mkuu ungeachana kwanza na kutuwekea hayo mavideo yako,, nani ana muda wa kuyaangalia sasa hivi?

We nae siutoe maoni yako? Mbona unadandia tu hoja za watu na Ku_comment nonsense! Waha bana ni shidaaaah! Mwakeye! nakutania.
 
Mkuu wangu Ngongo mgombea wetu ulio bet Jaji Askofu Ramadhan wamemchinjia baharini.

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:


hatari kweli , ila Watz tutakuwa mabwege kuongozwa na Maembe.
 
ni mastaajabu wengi tunavyokufahamu kuwa wewe ni muumini wa siasa za mwl Nyerere.tulitegemea utasimama katikati ya hao wagombea , lkn tumekushuhudia uko bega kwa bega na E LOWASA. huenda kuna jambo unalolihahamu kuhusu huyo bwn ambaye nasikia Mwl Nyerere aliwahi kumkataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…