ARISTOTLE79
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 451
- 139
me ndo nmefurahi hapa nausubiri mchepuko Wang tuchapane saaana kwa furaha
Ukimwi unakufata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
me ndo nmefurahi hapa nausubiri mchepuko Wang tuchapane saaana kwa furaha
Halafu asubuhi hii wanakimbilia St Gasper Hotel wameenda kujipanga walete (sijui ni fujo huko NEC?)
Huli kundi la akina Kingunge, Nchimbi, Sofia, Kimbisa na team zao wataadhirika sasa hivi ni bora kukubali kushindwa maana zaidi ya hapo ni kipigo hakuna cha kuchimbika wala Balali kurudishwa
kwa hisia kali nasema. Ccm wamekula dumeeeeee. Na nasema, palikuwepo misukule kwenye siku ya kutangaza nia. Yahani hile ilikuwa nguvu ya giza kubwa na yesu ametunasua kwenye mitego ya shetani.kamanda mimi nimefurahi zaidi ya saaaana! Rais gani anahonga hadi wadhamini alafu anatuahidi kukomesha rushwa!? Marafiki zake ni chenge , tibaijuka, rostam na........!!! Tafakaruni watanzania!
Lowassa yupo kwenye list?
Kamanda mimi nimefurahi zaidi ya saaaana! Rais gani anahonga hadi wadhamini alafu anatuahidi kukomesha rushwa!? Marafiki zake ni Chenge , Tibaijuka, Rostam na........!!! Tafakaruni watanzania!
Maneno ya busara sana haya. Ni vema kuyazingatiaTujadiliane kwa lugha nzuri kuniita mimi chizi usijione hizo lugha unazijua peke yako na mimi nikirudisha kwa lugha hiyo tutachafua jukwaa.
Wakuu mwenye kujua Asha Rose dini gani?