Pamoja sana mkuu kanone. Huyu Membe amekijeruhi sana chama kwa kuendeleza siasa za makundi. Pia uwezo wake ni mdogo sanamagufuli ndo tunamtaka
kwa taarifa hilo ndo chaguo la mkuu. angalia nafasi ya uwaziri alioipata. aliwekwa ile mkuu aliokua nayo kabla ya ukuu ahifadhi MAMBO. ILE ya mambo ya nje. SASA Mkuu anang'atuka anataka ashike nafasi yake ili ahifadhi MAMBO
Pamoja sana mkuu kanone. Huyu Membe amekijeruhi sana chama kwa kuendeleza siasa za makundi. Pia uwezo wake ni mdogo sana
Wawarudishe watu wa watu...KUTOKA DODOMA 4U MOVEMENT
TANGAZO:
Tunawatangazia kwamba kufikia saa nne kamili asubuhi kwa wana 4U ambao si wa NEC wala wajumbe wa mkutano mkuu wawe wameshakabidhi vyumba katika hotel walizofikia, Pia wale wajumbe wa NEC na mkutano mkuu 4U hatutaendelea kugharamia uwepo wenu hapa dodoma!
Mwisho:
Hakutakuwa na usafiri wa mabasi yetu kuwarudisha wale wana 4U huko mikoani kila mtu atajigharamia.
asante
Mr Hemed Ally
Mratibu Taifa (National Coordinator)
@4u movement
www.4umovement.blogspot.com
Naona scenarios mbili.
1. Benard Membe anaingia 3 bora pamoja na Magufuli, lakini Magufuli anashinda kwa kupata support ya TeamLowassa
2. Magufuli anakatwa mapema, asha Rose Migiro anashinda kwa support ya TeamLowassa.
Benard Membe ana wakati mgumu sana... Wajipange vizuri.
Lakini TeamLowassa wajue kwamba hata wakipiga kura za huruma au hasira, hao watatu watakaopatikana wana baraka za Kikwete.
Sasa nayakumbuka yale maneno ya JK aliposema kuwa kuna mgombea aliwachukua watu kwa gari lake wakampigie kura. Alipokosa aliwatelekeza watu haoKUTOKA DODOMA 4U MOVEMENT
TANGAZO:
Tunawatangazia kwamba kufikia saa nne kamili asubuhi kwa wana 4U ambao si wa NEC wala wajumbe wa mkutano mkuu wawe wameshakabidhi vyumba katika hotel walizofikia, Pia wale wajumbe wa NEC na mkutano mkuu 4U hatutaendelea kugharamia uwepo wenu hapa dodoma!
Mwisho:
Hakutakuwa na usafiri wa mabasi yetu kuwarudisha wale wana 4U huko mikoani kila mtu atajigharamia.
asante
Mr Hemed Ally
Mratibu Taifa (National Coordinator)
@4u movement
www.4umovement.blogspot.com
Naona scenarios mbili.
1. Benard Membe anaingia 3 bora pamoja na Magufuli, lakini Magufuli anashinda kwa kupata support ya TeamLowassa
2. Magufuli anakatwa mapema, asha Rose Migiro anashinda kwa support ya TeamLowassa.
Benard Membe ana wakati mgumu sana... Wajipange vizuri.
Lakini TeamLowassa wajue kwamba hata wakipiga kura za huruma au hasira, hao watatu watakaopatikana wana baraka za Kikwete.
Tunaendelea kufuatilia kwa karibu na soon mtajulishwa kila kitu. Hakika wamechanganyikiwa sana. Kwa vile daktari wake alifika toka Ujerumani, bila shaka anamhandle ipasavyo
Mkuu, umechelewa sana. Lowasa kakatwaCCM mkishindwa kumpitisha Lowassa jueni kuwa Ukawa wanataka kuwaangusha na "Enemy of their enemy is their friend" UKAWA watachukua nchi kupitia yeye na itajulikana baadaye watakavyo simama kumbukeni alisema watanzania wanataka mabadiliko na wasipoyapata ndani ya CCM watayapata nje ya CCM kuweni makin.
Kama mnaogopa kwa wizi na ubadhilifu mlioufanya mtaanguka vibaya kuliko mtakavyoanguka mkimweka LOWASSA. :amen::amen::amen:
Nani kakudanganya?watakatwa wote lakini sio lowasa,ama CCM ikatike au lowasa akatwe.