Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

CCM ni kawaida yao kuwachagula watu mtu wamtakae wao. safari hii alilengwa bw M
embe .lkn kwa hasira za wapambe wa EL watakupa wewe kura zao na huyo bwana ataambulia patupu
 
  • Thanks
Reactions: Gor
Nakumbuka mwakajana mchungaji Anthony lusekelo alisema,wote walio enda naijeria kuombewa wapate uraisi hawata upata!!!! maana wamewazarau wachungaji wanyumbani!!!! Duuuu siamini kama yametokea akika shikamoo ccm.
 
Weee nchi hii si ya LOWASA wala MEMBE ni ya WATANZANIA. Lowasa awe gentleman kama Mh. Mwandosya akubali matokeo. Kulikuwa na wagombea 38 waliorudisha fomu na bado 33 hawajalalamika. Lowasa anataka kufanya nini na rushwa yake na Gwajima mzee wa poda na Kingunge.
Nchi hiko imara na Mh. Rais ameonyesha ukomavu wa hali ya juu na kwa tukio hili ameturejesha wengi CCM na tunamuunga mkono. Hatuwezi kuongozwa kwa mafuriko.
Yaone mateso haya tuliyo nayo ya dhuluma na ufisadi. Lazima ifike mwisho na Mungu atatusaidia. AMENI
kwa akili yako na uzoefu wako unadhani wanaosababisha machafuko kwenye nchi ni kina nani????
kwa taarifa yako kama hujui hawa watu wawili wana makundi na kambi hadi kwenye system na majeshi yetu. Wameshaandaa watu wako kwenye vyombo vinavoosimamia usalama wa nchi so ktikisiko baina ya hawa watu ni mtikisiko wa nchi ingawa hawa ni watu unawaona wadogo tu na hawana influence.

Kikubwa hapa ni CCM iamue kuwatoa Membe na Migiro kwa sababu wanajulikana wanatoka kambi moja yenye ugomvi na kambi nyingine ambazo zote zina influence kwenye mustakabali wa taifa na wawaingize Jaji Ramadhani na Mahiga au kama sio ivo Wawaingize watu wengine ambao ni neutral hawana makundi kama Muhongo au Mwandosya ili hizi kambi mbili zicool. Kwa sababu kwa taarifa yako kuna watu wanajua kuwa iwapo kambi ya Membe ikiingia basi nchi haitakalika kwa visasi na chuki na likewise ikipita kambi ya Lowassa upande wa pili hautatulia. Ili kuwatuliza hwa ni bora wakose wote.

Fujo hizi zinaongezeka kwa sababu mambo kama ilivosemwa humu kuwa Mwenyekiti anawabeba Membe na Migiro na inakuja kuthibitika hapa. Na hii ni hatari kwa mustakabali wa taifa.
 
CCM ni kawaida yao kuwachagula watu mtu wamtakae wao. safari hii alilengwa bw M
embe .lkn kwa hasira za wapambe wa EL watakupa wewe kura zao na huyo bwana ataambulia patupu
paraganyika ccm
 
hii mipasho ya hii livestream ya mkutano wao kiboko.

CCM 2015

Lowassa sijui kawafanya nini hawa watu, hii ni chuki ya kiwango kikubwa sana kwa kweli.
 
Kwa fitina zinazoendelea hivi sasa huko Dodoma, naona mwisho wa ccm unakaribia kwa kasi zaidi!!!
Ni kitu cha kushangaza kuona jina la mh. Lowassa linakatwa na la mh. Membe kubaki wakati wote ni wahanga wa shutma za matumizi ya rushwa... Kupita kwa mh membe kunaleta walakini hata kwenye taasisi nyeti ya usalama wa taifa(tiss) kwa kushindwa kutoa maoni kwa kamati kuu juu ya shutma nyingi alizonazo mh. Membe.

Mwenyekiti wa ccm taifa.... tuachie chama chetu kama ulivokikuta, ccm kwanza ukoo wenu badae.

Kukatwa Lowassa sawa, kupita Membe Hapana!!!

ccm safi inawezekana

membe hana kashfa, team lowasa walikuwa wanajisafisha kwa kutumia magufuli, membe na JK lakini mungu kaona hila zao wameshindwa
 
Magufuli Atapenya, But Shida Yangu Ni Hii Jembe Na Nyundo!!! Ifikie Wakati Vyama Vibadikishe Sera, Kama Jembe Na,Nyundo, Wakulima Wangapi Wanalima Kwa Ufanisi Kama Zamani, Mimi Nimesoma Kwa Uwepo Wa Kahawa, Sasa Hivi Nyingi Zimeng'olewa!!! Je Pembejeo, Zilikuwepo Za Kutosha. Sasa Zingepatikana Kama Mwanzo, Pamba Ikalimwa, Mahindi, maharage, N.K... Tungejikomboa
 
Back
Top Bottom