Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

CCM ni kawaida yao kuwachagula watu mtu wamtakae wao. safari hii alilengwa bw M
embe .lkn kwa hasira za wapambe wa EL watakupa wewe kura zao na huyo bwana ataambulia patupu
 
Reactions: Gor
Nakumbuka mwakajana mchungaji Anthony lusekelo alisema,wote walio enda naijeria kuombewa wapate uraisi hawata upata!!!! maana wamewazarau wachungaji wanyumbani!!!! Duuuu siamini kama yametokea akika shikamoo ccm.
 
kwa akili yako na uzoefu wako unadhani wanaosababisha machafuko kwenye nchi ni kina nani????
kwa taarifa yako kama hujui hawa watu wawili wana makundi na kambi hadi kwenye system na majeshi yetu. Wameshaandaa watu wako kwenye vyombo vinavoosimamia usalama wa nchi so ktikisiko baina ya hawa watu ni mtikisiko wa nchi ingawa hawa ni watu unawaona wadogo tu na hawana influence.

Kikubwa hapa ni CCM iamue kuwatoa Membe na Migiro kwa sababu wanajulikana wanatoka kambi moja yenye ugomvi na kambi nyingine ambazo zote zina influence kwenye mustakabali wa taifa na wawaingize Jaji Ramadhani na Mahiga au kama sio ivo Wawaingize watu wengine ambao ni neutral hawana makundi kama Muhongo au Mwandosya ili hizi kambi mbili zicool. Kwa sababu kwa taarifa yako kuna watu wanajua kuwa iwapo kambi ya Membe ikiingia basi nchi haitakalika kwa visasi na chuki na likewise ikipita kambi ya Lowassa upande wa pili hautatulia. Ili kuwatuliza hwa ni bora wakose wote.

Fujo hizi zinaongezeka kwa sababu mambo kama ilivosemwa humu kuwa Mwenyekiti anawabeba Membe na Migiro na inakuja kuthibitika hapa. Na hii ni hatari kwa mustakabali wa taifa.
 
CCM ni kawaida yao kuwachagula watu mtu wamtakae wao. safari hii alilengwa bw M
embe .lkn kwa hasira za wapambe wa EL watakupa wewe kura zao na huyo bwana ataambulia patupu
paraganyika ccm
 
Yaani vyama vyote vingeungana CCM kwisha habari yake
 
hii mipasho ya hii livestream ya mkutano wao kiboko.

CCM 2015

Lowassa sijui kawafanya nini hawa watu, hii ni chuki ya kiwango kikubwa sana kwa kweli.
 

membe hana kashfa, team lowasa walikuwa wanajisafisha kwa kutumia magufuli, membe na JK lakini mungu kaona hila zao wameshindwa
 
Magufuli Atapenya, But Shida Yangu Ni Hii Jembe Na Nyundo!!! Ifikie Wakati Vyama Vibadikishe Sera, Kama Jembe Na,Nyundo, Wakulima Wangapi Wanalima Kwa Ufanisi Kama Zamani, Mimi Nimesoma Kwa Uwepo Wa Kahawa, Sasa Hivi Nyingi Zimeng'olewa!!! Je Pembejeo, Zilikuwepo Za Kutosha. Sasa Zingepatikana Kama Mwanzo, Pamba Ikalimwa, Mahindi, maharage, N.K... Tungejikomboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…