respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
CCM please tunaomba raisi mwanamke kama mlivyofanya katika nafasi ya Spika ya mama retu Makinda tutafurahi sana UKAWA...
Nimemwangalia Lowasa wakati wajumbe wanaimba ndani ya kikao hadi anataka kulia...
Lakini JK anacheka...
Mhh....mara hii 3 bora tayari?