Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Majina ndiyo haya......!!

Rose Migiro
January Makamba
Bernard Membe

Hii imekaaje wakuu, Naona ccm wanatuletea Mgombea Mwanamke hapa. Sioni ni kwa namna gani timu Lowassa wakampigia kura Membe wala Makamba nadhani moja kwa moja huyu mama ndiye mgombea wa ccm...!!!

Toa neno lako hapo, nini mataraijio yako hapa

BACK TANGANYIKA
 
CCM please tunaomba raisi mwanamke kama mlivyofanya katika nafasi ya Spika ya mama retu Makinda tutafurahi sana UKAWA...

Wazo zuri lakini akiwa aina ya Makinda, itakuwa balaa.
 
aaaf huyo membe na kikwete kweli si mtu na kaka yake hao ....angalia uzuri sura zao utagundua kitu hapo.
 
Tatizo masisiemu hayasomeki hata chembe..
Mchezo utakuja change ghafla tena dakk za majeruhi na msiamini kitachotokea.
Hawa jamaa ni kuwasikiliza tu na sio kuwatabiria.
Kwao ni RUSHWA RUSHWA RUSHWAAAA na UFISADI
 
Hapa kazi ipo ...na kwanini Makongoro asipite kama mzembe Amani alipitishwa iweje mzalendo Makongoro aachwe? uchifu uko bara tu? ila Zanzibar khaaa!?... hatukubali sisi wazalendo
 
Mimi kwangu ,magufuli,amina salim ally ,January makamba. ila wadau siye tulio mbali tunafuatiliaje? je kuna mtandao wowote uko online?
 
Back
Top Bottom