Humu ndani kumejaa utabiri tu ngoja tusubiri mpaka official announcement.
Yaani hamna mwislamu hata mmoja?Naona wazee wa kubet kama kawaida wanazidi kuweka mzigo.
Ukisoma post za hapa ndan ...naweza sahau kama natakiwa nikalishe kuku zangu Na nifungie mbuz zangu
Top o5
Mkeka wa MegaMix
1.Justice Ramadhani
2.Dr.Asha Migiro
3.Prof.Mark Mwandosya
4.Makongoro Nyerere.
5.Dr.Magufuli
Top3.
1.Justice Ramadhani
2.Dr.Magufuli
3.Dr.Migiro.
CCM Flag bearer
Dr.Magufuli
Runnermate.Justice Ramadhani
What? Lowassa usipomdhibiti huku mwanzoni, kule mbele huwezi kumdhibiti coz' huko wamejaa wapiga makofi!Inaleta muelekeo nilio nao. Ila jamaa wa kwanza hapo kwny red anaweza kuachwa kumpa moyo ili aondolewe kwenye 3cream.
Sio tu kwamba unaota pia umelala kichwa chini miguu juu.
Mkuu ikiwa hivyo kura yangu nawapa
Huo n mtzamo wako mdogo...kama ww Ccm inanaana ya ukawa hufuatilii?Duuh hivi kwa attention yote hii kwa wa Tz kinachojili huko Dom kuna yoyote ambaye bado anaamini Rais ajaye atatoka UKAWA? Endapo CCM watakuwa kitu kimoja baada ya mchakato huu naamini bado wana nafasi kubwa ya kutoa Rais ajaye. My opinion.
Mimi kuna mmoja kaniambia Lowasa akipita Top 5 atanipa Binti yake anaesoma Chuo,sasa hivi ndio nimefika maeneo anayokaa nipo hapa Bar napiga Nyagi kabisa.