Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Duh...Sheikh Yahya aliacha vijukuu vingi!:becky:
 
Hapa tunauziana tu chai. Nilichogundua ni kuwabhizi kamati zina usiri sana . Chai naona zimezidi humu ndani.
 
Top o5
Mkeka wa MegaMix
1.Justice Ramadhani
2.Dr.Asha Migiro
3.Prof.Mark Mwandosya
4.Makongoro Nyerere.
5.Dr.Magufuli
Top3.
1.Justice Ramadhani
2.Dr.Magufuli
3.Dr.Migiro.

CCM Flag bearer
Dr.Magufuli
Runnermate.Justice Ramadhani

Mkuu ikiwa hivyo kura yangu nawapa
 
Inaleta muelekeo nilio nao. Ila jamaa wa kwanza hapo kwny red anaweza kuachwa kumpa moyo ili aondolewe kwenye 3cream.
What? Lowassa usipomdhibiti huku mwanzoni, kule mbele huwezi kumdhibiti coz' huko wamejaa wapiga makofi!
 
Lowasa is the big fish in the ocean yaan kama hakuna mgombea mwingine
 
lowasa, lowasa, hivi watu woooote mind zinenasa? Minchi mingine shida!
 
Sasa anashinikiza apitishwe? halafu dudu tupe update ya majina matano acha longolongo
 
Seriously when did UKAWA get eaten in this CCM propaganda machine?i have not heard of anything about UKAWA presidential hopefuls or procedures in any platform in the same extent CCM has theirs, yet UKAWA wants to win the election.
UKAWA needs to get it's PR team together.., amateur time is seriously over.
 
Duuh hivi kwa attention yote hii kwa wa Tz kinachojili huko Dom kuna yoyote ambaye bado anaamini Rais ajaye atatoka UKAWA? Endapo CCM watakuwa kitu kimoja baada ya mchakato huu naamini bado wana nafasi kubwa ya kutoa Rais ajaye. My opinion.
Huo n mtzamo wako mdogo...kama ww Ccm inanaana ya ukawa hufuatilii?
 
Mimi kuna mmoja kaniambia Lowasa akipita Top 5 atanipa Binti yake anaesoma Chuo,sasa hivi ndio nimefika maeneo anayokaa nipo hapa Bar napiga Nyagi kabisa.

mkuu hiyo nyagi taratibu nayo maana utaua mtoto wa mtu
 
Back
Top Bottom