Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Huyu babu nae aka RIP. hajui miaka anayoishi ni above 70 manake amekopeshwa na Mungu. muda huu si wa fitna kwa mzee kama kingunge bali ni wakati wa kuitengeneza njia ya kuiendea pepo.

Huyu mzee ana hasira mgombea wake hayumo. Ila yote hiyo ni pesa ya ufisadi inalazimisha kununua nchi. Ila kwa ujasiri wa Kikwete hawamuwezi, kikwete yupo na wananchi na anawajua mafisadi vizuri na genge lao
 
Hata ukifanyika saivi kwani nini kitabadilisha matokeo,kaishakatwa tayari.
 
Tayari majina matatu 3 yanapelekwa mkutano mkuu. Nec wanapiga kura sasa.hakuna mabadiliko yeyote.sasa 3 kamili 3 mkutano mkuu unaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…