Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Ina maana huko zinapigwa kura za ndiyo na hapana siyo za kutaja jina la unayempendekeza?

Nafikiri in lazima wajumbe was Halmashauri Kuu kuyakubali hayo majina matano yaliyopendekezwa na Kamati kuu,nadhani hapo ndipo kwenye shida kwani kanuni zinaruhissu kutoyakubali na wanaweza kuyabadilisha......wataalam changieni zaidi
 
Hapa Arusha mjini Waarusha waliokuwa wanamsubiri Lowassa ili awakabidhi maduka na mashamba na nyumba za wachagga waliposikia ameenguliwa wametaharuki eti CCM imejichinjia baharini. Mungu asante kwa kumtosa huyu Hitler aliyedhamiria kuwaweka wachagga kwenye concentration camp

Pathetic
 
Raisi ni Membe. Wale 'wenzetu' Bora muanze kumsapoti mapema.

Wewe haya mambo huyajui...wewe unajua mambo ya ali kiba na diamond...nani kuwa Rais bado mapema..tulia uone mchakato wa kumpata pres. of URT unavyokwenda...
 
Ulipewa individual?
Au kwa madhumuni fulani ya msikiti au kanisa😨

Nimekwambia tulipewa msikitini. Na kanisani pia walipewa.lengo kuu Ni kumuona yeye Ni mtu kwenye roho nzuri Sana ili atakapogombea uraisi tumpe sapoti. Umeelewa sasa.
 
kuna tetesi nimezipata kwamba kura zimekuwa ngumu ndani ya NEC,asilimiq 90 wamepiga hapana,kura zinarudiwa mara ya tatu sasa na mijadala ni mikali,wajumbe ni kama hawamwogopi jk,labda kwa vile muda wake umekwisha,mkutano mkuu unaweza kufanyika kesho kitu ambacho kitayapa makundi muda wa kuzungukia wajumbe wa mkutano mkuu na kujiimarisha zaidi

hizi taarifa umezipata wapi mkuu wakati simu zote zimezimwa na wahandishi wa habari wamefukuzwa nje sasa wewe umefanya udukuzi gani kupata taarifa hizi?
 
Akiwa anahojiwa na Charles Hilali Kingunge amesema mazingira ya kuwakata baadhi ya wagombea yalijengwa mapema,na viongozi waliopo serikarini mapema kabisa.
Sasa maamuzi yanayo tokea na yatakayo tokea,yatatokana na kile ambacho kiliandaliwa toka mwanzo.


mzee Kimgunge anapotosha kwelii, huyu mzee hovyo kwelii.
 
Hakuna uamuzi mzito pale.
Ni maslahi tu, wewe unawezaje kuzuia nguvu ya wengi? Kama si kubeba treni mgongoni.

sema nguvu ya wezi...hivi kama wananchi mnanunuliwa kwa kanga na kofia sembuse pale hela ya ukweli inapomwagwa? hiyo ni nguvu ya hela za wezi na si nguvu ya wengi. Hatumchagui mtu kwa kuwa anapendwa...kama unampenda nenda ukanywe nae chai
 
Mkutano umefunguliwa na Mwenyekiti wa chama Rais Kikwete na kuahirishwa baada ya Dakika saba kwa kile wanachodai ni kuruhusu watu wakapate Chakula cha mchana. Wakati Mwenyekiti wa Chama anaingia, Wajumbe wa NEC walimpokea kwa wimbo wa "Tuna imani na Lowassa" hadi rais anakaa wameendelea kuimba.


Raisi nae pia alikuwa anaimba.
Hao wanaoimba wanamharibia zaidi lowasa. Mwaka 1995 kulikuwa na kundi kubwa kama hili lililoandaliwa kufanya fujo Dodoma lakini likazimwa na Nyerere aliyekuwa mwalikwa tu kwenye kikao kile cha uteuzi. Sioni ni vipi Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa chama na Amiri jeshi mkuu, na vyombo vyote vya ulinzi na usalama chini yake, kubabaishwa na wajinga hao. Anaweza kuwa dhaifu, lakini si wa kiwango hicho.
 
hizi taarifa umezipata wapi mkuu wakati simu zote zimezimwa na wahandishi wa habari wamefukuzwa nje sasa wewe umefanya udukuzi gani kupata taarifa hizi?

Spy pen camera
 
Wewe haya mambo huyajui...wewe unajua mambo ya ali kiba na diamond...nani kuwa Rais bado mapema..tulia uone mchakato wa kumpata pres. of URT unavyokwenda...

poa mkuu. mimi mgeni kwenye ulingo wa siasa. ndio nimeamua rasmi kuingia engo hizi
 
Mimi nimecheka sana,yaani mzee kingunge awapiga viongozi wa chama na bwana mkubwa, za uso, hamesaahu fadhila za unganga wa kienyeji,kwenye bunge la katiba?

Au ndio potelea pote,liwalo na liwe anamwaga mboga?
 
Back
Top Bottom