Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

kuna tetesi nimezipata kwamba kura zimekuwa ngumu ndani ya NEC,asilimiq 90 wamepiga hapana,kura zinarudiwa mara ya tatu sasa na mijadala ni mikali,wajumbe ni kama hawamwogopi jk,labda kwa vile muda wake umekwisha,mkutano mkuu unaweza kufanyika kesho kitu ambacho kitayapa makundi muda wa kuzungukia wajumbe wa mkutano mkuu na kujiimarisha zaidi

Ina maana huko zinapigwa kura za ndiyo na hapana siyo za kutaja jina la unayempendekeza?
 
hivi wabongo hamna kazi ee, unaacha kujenga maisha unakaa kwenye TV kuangalia wengine wakitengeneza mpunga wao
 
mazingira ya kuwakata baadhi ya wagombea yalijengwa mapema,na viongozi waliopo serikarini....
kingunge hamna anachoongea amezeeka akili anashindwa kutofautisha chama na serikali! si ajabu anaempambia kakatwa tena.
 
Ina Maana hawamuoni Dk. Magufuli? wapuuzi sana hao NEC walio piga HAPANA.
 
heee!! eti rais kwa kuwa atakuwa amiri jeshi mkuu, lazima awe angalau amepitia hata MGAMBO!!!! Huyu mzee vipi??!!
 
Mkuu JK ana uwezo mkubwa sana, usisahau kwamba yeye bado ni Rais wa nchi hii, huyo magufuli atapozwa kwa uPM, Amina ni Makamu kwa kuzingatia gender na uzanzibar wake. Makamba ni mtoto wa JK chochote atakachoamriwa na JK yeye atakubali tu. After all yeye ni naibu waziri, hata akipewa kawizara kanamtosha.

Rais ni Mwanausalama Bernad Membe.


Karata ya Mwanausalama dhaifu kama Membe ni risk kubwa sana kwa masilahi ya Taifa labda kwa masilahi ya familia ya JK.
Na kwa sababu ni sehemu ya Mtandao Ugombea wake nao ni hatari kwa uhai wa Chama-unajua ana maadui wangapi ndani ya Chama Chake.

Ni wazi Raisi pengine anategemea mazoea ya kutumia magoli ya mikono kama alivyodokeza Nape Nauye lakini muda mwingine ulazima wa kuangali hali halisi ni muhimu.




 
Kweli nimeamini kuwa mtu ukizeeka akili huwa zinarudi kwenye utoto.....maneno anayoyaongea huyu mzee ni kama mchawi aliyelishwa usembe....
Kwa kifupi mzee anaropoka....
 
Back
Top Bottom