Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,607
- 4,263
kuna tetesi nimezipata kwamba kura zimekuwa ngumu ndani ya NEC,asilimiq 90 wamepiga hapana,kura zinarudiwa mara ya tatu sasa na mijadala ni mikali,wajumbe ni kama hawamwogopi jk,labda kwa vile muda wake umekwisha,mkutano mkuu unaweza kufanyika kesho kitu ambacho kitayapa makundi muda wa kuzungukia wajumbe wa mkutano mkuu na kujiimarisha zaidi
Ina maana huko zinapigwa kura za ndiyo na hapana siyo za kutaja jina la unayempendekeza?