GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Akiwa anahojiwa na Charles Hilali Kingunge amesema mazingira ya kuwakata baadhi ya wagombea yalijengwa mapema,na viongozi waliopo serikarini mapema kabisa.
Sasa maamuzi yanayo tokea na yatakayo tokea,yatatokana na kile ambacho kiliandaliwa toka mwanzo.
Aende zake huyu mzee,hawezi kutuchagulia rais fisadi ambae ananuka kuliko hata kinyesi cha nguruwe. Wao Kama wanaona ameonewa wahame Chama milango iko wazi na tunawatakia kila la heri. Hata waende wapi hatumpi urais Lowassa