Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Akiwa anahojiwa na Charles Hilali Kingunge amesema mazingira ya kuwakata baadhi ya wagombea yalijengwa mapema,na viongozi waliopo serikarini mapema kabisa.
Sasa maamuzi yanayo tokea na yatakayo tokea,yatatokana na kile ambacho kiliandaliwa toka mwanzo.

Aende zake huyu mzee,hawezi kutuchagulia rais fisadi ambae ananuka kuliko hata kinyesi cha nguruwe. Wao Kama wanaona ameonewa wahame Chama milango iko wazi na tunawatakia kila la heri. Hata waende wapi hatumpi urais Lowassa
 
Jf kunani? accessibility iko very restrictive na bado hatupati thread kama kawaida? Mmeingiliwa na mwenyekiti?
 
aende akajiunge na cha kingine yeye si anajimini raia wengi wanamkubali kwani lazima awe raisi kupitia ccm?!

Kushinda uchaguzi sehemu ya urais kwa tiketi ya chama tofauti na ccm ni ngumu ,si unajua wanafunga hata kwa mikono
 
Mkuu JK ana uwezo mkubwa sana, usisahau kwamba yeye bado ni Rais wa nchi hii, huyo magufuli atapozwa kwa uPM, Amina ni Makamu kwa kuzingatia gender na uzanzibar wake. Makamba ni mtoto wa JK chochote atakachoamriwa na JK yeye atakubali tu. After all yeye ni naibu waziri, hata akipewa kawizara kanamtosha.

Rais ni Mwanausalama Bernad Membe.

halafu ujue magufuli kama hajaamini hivi..yaani ameokota embe dodo chini ya mwarobaini....
 
Akiwa anahojiwa na Charles Hilali Kingunge amesema mazingira ya kuwakata baadhi ya wagombea yalijengwa mapema,na viongozi waliopo serikarini mapema kabisa.
Sasa maamuzi yanayo tokea na yatakayo tokea,yatatokana na kile ambacho kiliandaliwa toka mwanzo.
akili nyingi sana
 
Kule hakuna simu wala mwandishi,na kumezuiwa vikali,umejuaje?
 
Jf kunani? accessibility iko very restrictive na bado hatupati thread kama kawaida? Mmeingiliwa na mwenyekiti?

Kumbe umestuka mkuu. Thread haziendi kabisa. Mtandao umekuwa hacked naona.
 
Back
Top Bottom