Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Wadau kikao ni kesho....hivo kuweni wavumilivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana huko zinapigwa kura za ndiyo na hapana siyo za kutaja jina la unayempendekeza?
Hapa Arusha mjini Waarusha waliokuwa wanamsubiri Lowassa ili awakabidhi maduka na mashamba na nyumba za wachagga waliposikia ameenguliwa wametaharuki eti CCM imejichinjia baharini. Mungu asante kwa kumtosa huyu Hitler aliyedhamiria kuwaweka wachagga kwenye concentration camp
Raisi ni Membe. Wale 'wenzetu' Bora muanze kumsapoti mapema.
Ulipewa individual?
Au kwa madhumuni fulani ya msikiti au kanisa😨
kuna tetesi nimezipata kwamba kura zimekuwa ngumu ndani ya NEC,asilimiq 90 wamepiga hapana,kura zinarudiwa mara ya tatu sasa na mijadala ni mikali,wajumbe ni kama hawamwogopi jk,labda kwa vile muda wake umekwisha,mkutano mkuu unaweza kufanyika kesho kitu ambacho kitayapa makundi muda wa kuzungukia wajumbe wa mkutano mkuu na kujiimarisha zaidi
vp bado update naona Dodoma patamu tuletee vitu
Akiwa anahojiwa na Charles Hilali Kingunge amesema mazingira ya kuwakata baadhi ya wagombea yalijengwa mapema,na viongozi waliopo serikarini mapema kabisa.
Sasa maamuzi yanayo tokea na yatakayo tokea,yatatokana na kile ambacho kiliandaliwa toka mwanzo.
Hakuna uamuzi mzito pale.
Ni maslahi tu, wewe unawezaje kuzuia nguvu ya wengi? Kama si kubeba treni mgongoni.
Hao wanaoimba wanamharibia zaidi lowasa. Mwaka 1995 kulikuwa na kundi kubwa kama hili lililoandaliwa kufanya fujo Dodoma lakini likazimwa na Nyerere aliyekuwa mwalikwa tu kwenye kikao kile cha uteuzi. Sioni ni vipi Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa chama na Amiri jeshi mkuu, na vyombo vyote vya ulinzi na usalama chini yake, kubabaishwa na wajinga hao. Anaweza kuwa dhaifu, lakini si wa kiwango hicho.Mkutano umefunguliwa na Mwenyekiti wa chama Rais Kikwete na kuahirishwa baada ya Dakika saba kwa kile wanachodai ni kuruhusu watu wakapate Chakula cha mchana. Wakati Mwenyekiti wa Chama anaingia, Wajumbe wa NEC walimpokea kwa wimbo wa "Tuna imani na Lowassa" hadi rais anakaa wameendelea kuimba.
Raisi nae pia alikuwa anaimba.
hizi taarifa umezipata wapi mkuu wakati simu zote zimezimwa na wahandishi wa habari wamefukuzwa nje sasa wewe umefanya udukuzi gani kupata taarifa hizi?
Wewe haya mambo huyajui...wewe unajua mambo ya ali kiba na diamond...nani kuwa Rais bado mapema..tulia uone mchakato wa kumpata pres. of URT unavyokwenda...
Kukatwa kwa EL ilikuwa ikijulikana mapema nadhani ndiyo maana Paul Makonda na @Nape wakawa na ujasiri wa kumtukana live mzee wa watu