Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Huyu mzee ana hasira mgombea wake hayumo. Ila yote hiyo ni pesa ya ufisadi inalazimisha kununua nchi. Ila kwa ujasiri wa Kikwete hawamuwezi, kikwete yupo na wananchi na anawajua mafisadi vizuri na genge lao

ni wakati wake amrudie Mungu aachane na biashara za kununua nchi
 
Yaaaani watanzania pengine amjui mchezo mchafu uliofanyika ni kwamba

kamati kuu hupokea majina yote na kuyahakiki then kuyachagua 5

kilichotokea baadhi ya wahuni wamekwenda na majina 5 walipofika wakaambiwaaa

ati kikao kinatakiwa kuizinisha haya matatno na sio kuchagua....dk nchimbi amesema

toka ajue siasa ajawahi kuona michezo michafu ya kihuni kama kilichotokea dodoma

loh...nchi inaongozwa kijeshi hadi kwenye maslahi ya taifa,,,uwiiiii

haya wakachague na hao 3 basi walete moja ....nec wamekataa uhuni wa kamati kuuu
 

Alipita sheikh ponda mini kingunge? Mzee wa uhamsho? Huko wapi?

Washukuru kikwete mstaarabu....mchonga ana kolimba tu ukileta mdomo mdomo
 
Wana habari wote ukumbi mpya wa CCM..kwenda kuwafahamu wa3.
Na baadae saa 3 usiku ndio atajulikana rasmi..
Hakuna mabadiliko "NAPE"
 
Hiyo ni habari ya jana mkuu.

Yaani mkuu nimekaa hapa nasubiri weee, huyu Nape bhana! Daah!

Mm ni UKAWA ila napenda nipate mpinzani wa kweli kama Dk. Magufuli.

Lakini Makamba Vs Dk. Slaa.
Ni sawa na UDOM FC Vs Yanga Sc.

Pole mkuu. Tusubiri
 
alitaka apewe nchi kama walivyokubaliana 2005. Hii nchi sio ya kikwete hii nchi ni yetu sisi
 
Aliahidiwa kuwa atawekeze kukusanya ushuru wa jiji la Dar baada ya makusanyo ya Ubungo terminal kuwa finyu; Hivi huyu mzee si yule aliyekuwa anavaa ki komunisti kama Mao Tsetung kuonyesha ni mjamaa. Vipi leo chura anageuka kuku au bado metamorphosis haina kikomo? Mbona alisema ujamaa ni imani ni lini aliikana imani yana ujamaa akasilimishwa na upepari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…